Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Ukizungukwa na hawa watu maeneo ya makazi jiandae kutengwa na mizozo ya kijinga. Ukipika kitimoto yako roast ndani ya geti lako jiandae kwa shari hata kama wewe ndio wamekukuta hapo.
Ndio mnavyodanganywa huko chachi kwenu😀😀😀
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Hili nalo ni tatizo lingine.
 
Attachments

  • FB_IMG_1715614681310.jpg
    FB_IMG_1715614681310.jpg
    17 KB · Views: 5
Utawala bora ndio solution.

Hakuna mtu atakimbia nchi yenye utawala bora , maana ustawi kwenye nchi hiyo unakuwepo .

Hao wanakimbia tawala kandamizi, ukosefu wa ajira, viongozi wasiowajibika n.k hayo yote ni matokeo ya utawala mbovu.

Wakifika Uingereza hupatiwa hifadhi na mahitaji mengine ya kibinadamu kutokana na kodi za wananchi huku wananchi wakiendelea kuumia kwa kodi juu ila zinakwenda pia kuhudumia watu waliotakiwa kubaki nchini kwao maana hao wahamiaji hawafanyi kazi kutokana na kukosa vibali halali sababu walikuja kwa kukimbia matatizo kwao hivyo hawapo katika mnyororo wa uzalishaji.

Mwaka juzi nilitembea Sweden baada ya miaka mingi kidogo hali kule napo si shwari wahamiaji ni wengi hasa kutoka nchi zenye matatizo ya kivita na utawala mbovu.
 
Ndiyo maana Trump anapendwa na Wamarekani wengi maana ameahidi kupambana na wahamiaji na uhamiaji haramu. Kuna mvuvumko wa populist politics duniani kote ili kulinda haki za wazawa. Kwa Ulaya nadhani walichelewa kuliona hili mapema; and it is too late. Mbaya zaidi wenyewe wanazaa katoto kamoja au hawazai kabisa wakati waarabu wanakamua mpaka watoto wanane+....

View attachment 3061229
Nilivyoona Uingereza Muhindi anakuwa waziri mkuu nikajuwa tayari wameshapotea.
 
Utawala bora ndio solution.

Hakuna mtu atakimbia nchi yenye utawala bora , maana ustawi kwenye nchi hiyo unakuwepo .

Hao wanakimbia tawala kandamizi, ukosefu wa ajira, viongozi wasiowajibika n.k hayo yote ni matokeo ya utawala mbovu.

Wakifika Uingereza hupatiwa hifadhi na mahitaji mengine ya kibinadamu kutokana na kodi za wananchi huku wananchi wakiendelea kuumia kwa kodi juu ila zinakwenda pia kuhudumia watu waliotakiwa kubaki nchini kwao maana hao wahamiaji hawafanyi kazi kutokana na kukosa vibali halali sababu walikuja kwa kukimbia matatizo kwao hivyo hawapo katika mnyororo wa uzalishaji.

Mwaka juzi nilitembea Sweden baada ya miaka mingi kidogo hali kule napo si shwari wahamiaji ni wengi hasa kutoka nchi zenye matatizo ya kivita na utawala mbovu.
Fact, Utawala mbaya wa kidikteta mi tatizo hata Sana. Madhara yake pia yanawakumba Wananchi waliopo kwenye nchi zenye Tawala nzuri kama hizo za Ulaya.
 
Sio kweli hilo la utawala mbovu mmemezeshwa tu na Main Stream Media ila hazina ukweli
Libya wakati wa gadafi hakukua na watu kuhama nchi yao wakaenda wakamuua
Syria wakati hawajaingiliwa na magaidi wa nato watu walikua wametulia makwao
Iraq napo palikua pametulia wakaenda wakaua watu wakaharibu ncho yao
Afghanistan hali kadhalika wamewafanyia hivyo
Pia wanajifanya mabwana wakubwa wanawaekea watu vikwazo kinafiq ona venezuela wanavyokimbia nchi yao baada ya vikwazo angalia cuba na mexico
Wahamiaji wote waliharibiwa mataifa yao ama kuekewa vikwazo wanatakiwa wakimbilie huko kwa hao wauaji
Afghanistan kuna mabilioni yao ya fedha kama sio matrilion yamezuiwa marekani na kwengine ambazo zingefanya maendeleo kwao
Safi sana wahamiaji
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
You are so intelligent that your comment is globally accepted by any truth teller
 
Ukitaka kujua zaidi soma kitabu cha ujasusi wa kidola na kuichumi.

Mrwanda aua watoto watatu Uingereza.

Uingereza wapiga stop warwanda kuingia nchini mwao.
 
Utawala bora ndio solution.

Hakuna mtu atakimbia nchi yenye utawala bora , maana ustawi kwenye nchi hiyo unakuwepo .

Hao wanakimbia tawala kandamizi, ukosefu wa ajira, viongozi wasiowajibika n.k hayo yote ni matokeo ya utawala mbovu.

Wakifika Uingereza hupatiwa hifadhi na mahitaji mengine ya kibinadamu kutokana na kodi za wananchi huku wananchi wakiendelea kuumia kwa kodi juu ila zinakwenda pia kuhudumia watu waliotakiwa kubaki nchini kwao maana hao wahamiaji hawafanyi kazi kutokana na kukosa vibali halali sababu walikuja kwa kukimbia matatizo kwao hivyo hawapo katika mnyororo wa uzalishaji.

Mwaka juzi nilitembea Sweden baada ya miaka mingi kidogo hali kule napo si shwari wahamiaji ni wengi hasa kutoka nchi zenye matatizo ya kivita na utawala mbovu.

Unafikiri hizo pesa wanazopewa ni za kodi ?? umesahau UK ilichukuwa kiasi gani Iran tu , kwa miaka 50 wakichukuwa mafuta bure , walikuwa hawalipi hata senti moja , hujaja nchi nyingine zilizokuwa ni makoloni yake
 
BBC naona hii habari hawataki kabisa kuiongelea. Ingekuwa inatokea nchi nyingine wangeonesha Breaking news muda wote. Wanafiki sana BBC
Wenzetu wanajua kulinda maslahi na taswira za nchi zao; maana wanajua taswira yako ya nje ni muhimu sana kwenye aura yako na invincibility uliyojijengea. Swaga na mikwara huwa zinasaidia sana hata katika vita vya kiuchumi na geopolitics.

Nilikwenda na mama kutembea nchi fulani alishangaa sana kuona wazungu homeless mamia kwa mamia wamelala mabarabarani wakati kulikuwa na baridi. Akawa anashangaa kumbe na wazungu masikini wapo? Nikawa nacheka tu. Ndo maana hata pisi zetu hizi iko tayari kubebwa na mzungu hata kama kule kwao ni msafisha vyoo na amedunduliza vihela vya kuja Serengeti kwa miaka zaidi ya 10. Wanaamini akipata mzungu basi amemaliza au akienda Marekani na Ulaya basi kayapatia maisha. Kumbe ni utopolo tu wakati mwingine!

Jamaa wanajua sana kuji-brand. Na nadhani huwa wanatushangaa sana tunapokwenda huko na kuanza kuzisema vibaya nchi zetu na hata kuomba eti zinyimwe misaada kisa tu ishu na figisu figisu zetu za ndani...

Land of the Free...

Home of the Brave!
 
Fact, Utawala mbaya wa kidikteta mi tatizo hata Sana. Madhara yake pia yanawakumba Wananchi waliopo kwenye nchi zenye Tawala nzuri kama hizo za Ulaya.
UK hapo kuna Wazanzibar hasa wapemba waliokimbilia huko baada ya mauaji ya 2001,Canada napo nilikutana nao baadhi walioenda kwa scenario kama hiyo.

Kabla ya hapo hawakuwepo wengi kwa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom