imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Alikuwakwani yeye ni Archbishop of Canterbury??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwakwani yeye ni Archbishop of Canterbury??
Tatizo nyinyi vilaza na simu janja mnajifanya mnajua kila kituAlikuwa
Warudi Kwao Afrighanistani huko wakapigane mabomuTatizo limesababishwa na mkristo mwenye kuimba kwaya
Megatron, [8/4/24, 3:32 PM]Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.
Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi
![]()
UK riots latest: Thousands take part in anti-racism protests; petrol bomb thrown at mosque in 'racially motivated' incident
Police are on high alert this weekend amid concerns over more disorder breaking out as protests take place across the country. In Northern Ireland, police are investigating a "racially motivated" attack on a mosque.news.sky.com
View attachment 3061197View attachment 3061198View attachment 3061199View attachment 3061200View attachment 3061201View attachment 3061201View attachment 3061202View attachment 3061202
ingekua imetokea Urusi leo vyombo vyote vya magharibi vingekua hewani[emoji3]BBC naona hii habari hawataki kabisa kuiongelea. Ingekuwa inatokea nchi nyingine wangeonesha Breaking news muda wote. Wanafiki sana BBC
Kabisa nikiangakia utube hapa sio wahamiaji rote ni Hawa Musilim ndo shida kubwa hapa hakuna kupepesa macho!Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh
Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu
Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo
kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Kweli kabisa, ngoja tuone mwisho wakeNdiyo maana Trump anapendwa na Wamarekani wengi maana ameahidi kupambana na wahamiaji na uhamiaji haramu. Kuna mvuvumko wa populist politics duniani kote ili kulinda haki za wazawa. Kwa Ulaya nadhani walichelewa kuliona hili mapema; and it is too late. Mbaya zaidi wenyewe wanazaa katoto kamoja au hawazai kabisa wakati waarabu wanakamua mpaka watoto wanane+....
View attachment 3061229
Wawarudishe tu makwaoWazungu kuua watu mil 4 siyo kazi kwao. Kumbuka idadi ya waliouwawa na Stalin au Hitler au Mfalme Leopord hapo DCR. Ikiwa full blown civil war ni dakika watawamaliza hao wahamiaji
Kabisaaa Hawa watu hapana, warudi kwaoWamekaribisha waarabu wa kutosha huko na wanadini zao kali acha wawavuruge
Muarabu sio wa kumpa hifadhi,hawa watu na dini yao ni majanga kwa Dunia 🙆
View attachment 3061764
Wageni ndio walianza kuchokoza nyukiWakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.
Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi
![]()
UK riots latest: Thousands take part in anti-racism protests; petrol bomb thrown at mosque in 'racially motivated' incident
Police are on high alert this weekend amid concerns over more disorder breaking out as protests take place across the country. In Northern Ireland, police are investigating a "racially motivated" attack on a mosque.news.sky.com
View attachment 3061197View attachment 3061198View attachment 3061199View attachment 3061200View attachment 3061201View attachment 3061201View attachment 3061202View attachment 3061202
Au Iran , Afghanistan 🤣Anasema hivyo lakini alisoma na kuishi Canada kwa Makafiri badala ya kusomea Iraq au Mogadishu
Ukweli mtupuNiliandika uzi juzi namna waislamu wanavyoshindwa kuishi na wenyeji sehemu yoyote duniani hata ukiwakaribisha nikatolea mfano waislamu wazanzibari walionunua ardhi morogoro kule matombo kwaajili ya kulima spice wameanza kukorofishana na wenyeji wanaofuga nguruwe miaka dahari kwahiyo uislamu ni janga popote duniani ukitaka kuishi kwaamani jiepushe kukaa na waislamu sikatai wapo wema na waliostaarabika kama kina jakaya ila walio wengi hawafai.
Halafu watu wanasema ooh wabaguziSwala sio uislam wao, au uarab,
Kila race inapenda ibaki kama inavyotaka, ulaya na america wenyewe wanasema ni nchi za weupe, na inabidi ibaki nyeupe, sasa hawa weusi, Latino, na Arabs wanataka kuharibu demographic,
Kule kwa wa Arab, hawawatski watu weusi kwa sababu wakizaliana Sana, weupe wao utapotea!
Sie huku bongo, hatupendi watu wenye asili ya Burundi, Rwanda,
Wanaofanya fujo hapa uingereza ni far rights na sasa wanapigana wao kwa wao na police katikatiWaarabu na Uislam wao ni tatizo kubwa
Ukizungukwa na hawa watu maeneo ya makazi jiandae kutengwa na mizozo ya kijinga. Ukipika kitimoto yako roast ndani ya geti lako jiandae kwa shari hata kama wewe ndio wamekukuta hapo.Ukweli mtupu
Jana wamepigana wao kwa waoNatamani Civil war itokee huko