Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Itafikia mahali asilimia kubwa ya binadamu watakuwa wanaishi kwenye cages kama kuku(ghorofa zenye tu apartments tudogo tudogo).Kitu chochote kikishakuwa kingi kupitiliza kinakosa thamani. Binadamu ni zaidi, mkishazaliana mkawa wengiii, mnakosa thamani, hosp wodini mnalundikwa kama mbuzi, unafika una tatizo la mapafu, kuna wenzako 1000 wanashida ya moyo, figo, maini unakuwa hauna uspecial wowote. Usafiri mnakuwa kama ng'ombe, ajira hazitoshi, mnaaza kutapeliana, upendo unapungua wageni mnawaona maadui n.k n.k.