Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndugu yangu ni lini kobazi waliwai kuwa na akili?Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh
Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu
Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo
kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona