Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Wale ma homeless wanaojiita dayasipora wanapiga makelele huko kilabu HAUSI usiku kucha watarejea nyumbani sasa
 
Wazungu wakorofi, sasa Hypermarket ya Sainsbury ni ya kwao mwingereza mwenzao ila wamevamia na kuiba kila kitu
Liverpool wamechoma library na kuna mama mmoja mzungu analalamika na kusema hakujua marafiki zake wengi ni wabaguzi wa rangi ingawa wamekuwa pamoja
Maandamano gani mnavunja kila sehemu sasa what's the point kuchoma majumba eti nyumba za juu wanakaa wahamiaji daa
Acha nilale zangu tu
 
Kama hawataki Wakimbizi wajitoe kwenye sheria ya Geneva Convention.

Hawa huwa hawafanyi wema kama binadamu au kwa ajili ya Mungu , huwa ni wema wa kuangalia maslahi yao. hao wakimbizi wanawachukua kwa maslahi yao zaidi ni manpower kwani population ya wazungu inapunguwa kwa vile hawazai sana na pia wanaoana jinsia moja na hivyo kizazi kinaondoka
 
Ubaguzi upi tena chief!

Ni wakati wa waafrica na warabu kurudi makwao kujenga nchi zao
Haitatokea hii hata siku moja
Na wewe unalijua hilo, mipaka hii hii na serikali hizi hizi
Kuna watu weusi UK ambao wanaitwa windrush generation hawa utawapeleka wapi hata waziri wa mambo ya ndani yule mhindi alipata kashfa kubwa sana kwa kuwarudisha kwao watu weusi
Watu walikubaliwa na serikali ya Uingereza kuja miaka ya zamani eti leo mhindi awarudishe Jamaica
Walirydishwa 🇬🇧 na kulipwa fidia pia
Uarabuni nako nimewaona watu weusi kibao wameishi miaka na miaka na wengine kuwa Wafalme

Ukisema turudi kujenga nchi sawa ila ni rafiki kwetu?
Ule wimbo wa Hadhi maalum umeishia wapi?

Watu wote kurudi kwenye asili yao ni ngumu na haliwezekani tu boss acha tujichanganye tu hata nyie leo mna wajomba wa kichina na wamezagaa kila mahali
Sasa mtawafukuza wakati mbegu zimeishapandwa na kina chu cha
 
Back
Top Bottom