Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Ndiyo maana Trump anapendwa na Wamarekani wazawa maana ameahidi kupambana na wahamiaji na uhamiaji haramu. Kuna mvuvumko wa populism politics duniani kote ili kulinda haki za wazawa. Kwa Ulaya nadhani walichelewa kuliona hili mapema; and it is too late. Mbaya zaidi wenyewe wanazaa katoto kamoja au hawazai kabisa wakati waarabu wanakamua mpaka watoto wanane+....

View attachment 3061229

Huyo Trump ni nani huko Marekani ?? si ndio hao watoto wa wahamiaji ??
 
Ndiyo maana Trump anapendwa na Wamarekani wazawa maana ameahidi kupambana na wahamiaji na uhamiaji haramu. Kuna mvuvumko wa populism politics duniani kote ili kulinda haki za wazawa. Kwa Ulaya nadhani walichelewa kuliona hili mapema; and it is too late. Mbaya zaidi wenyewe wanazaa katoto kamoja au hawazai kabisa wakati waarabu wanakamua mpaka watoto wanane+....

View attachment 3061229
Hakuna marekani mzawa
 
Huwa nawashangaa sana weupe, kuruhusu influx ya mwarabu kwenye nchi yako ni kuruhusu machafuko tu...
Aliyeua sio mwarabu,ni Alex,ni mnyarwanda,kama wewe,ni mkristo kama wewe,ni mwafrika kama wewe.Ndiye aliyeua wasichana watatu kwa kisu na kujeruhi tisa,serekali ya Uingereza ili anya kosa,kwa kutomtangaza mapema,baada ya kujua ni mkristo,aliyefanya mauaji,sasa hapa muarabu anahusika vipi na vurugu hizi au muislamu anahusika vipi.Tumia akili.
 
Bado muda hujafika mbona ndio kwanza wameanza.

Miaka zaidi 500 ni mingi hawa hata miaka 50 ya usumbufu bado haijafika
Waingereza wanajikuta wabinafsi kupitiliza. Ila mtu mweusi mnafiki sana aisee, kuna Mnyakyusa anajifanya kuwakandia Wahamiaji hapa jukwaani, anajifanya yuko upande wa Wazungu.
 
Aliyeua sio mwarabu,ni Alex,ni mnyarwanda,kama wewe,ni mkristo kama wewe,ni mwafrika kama wewe.Ndiye aliyeua wasichana watatu kwa kisu na kujeruhi tisa,serekali ya Uingereza ili anya kosa,kwa kutomtangaza mapema,baada ya kujua ni mkristo,aliyefanya mauaji,sasa hapa muarabu anahusika vipi na vurugu hizi au muislamu anahusika vipi.Tumia akili.

Ni chuki tu walizonazo hata yule aliyetaka kumuuwa Trump kumbe ni myahudi lakini waliyeyusha kwanza, lakini siku hizi ukweli ni rahisi kujulikana
 
Wewe ufiche upumbavu wako, kama wewe ni mwarabu, nimekwambia ukweli na ukweli umekuchoma, na hata sasa kwa majibu haya tu, tayari umetamani kunilipua mabomu

Nyinyi watu ni wa hovyo mno yaani
Aliyeua ni Alex,mnywaranda,ni mkristo,ameua wasichana watatu wa kizungu,na kujeruhi 9,hakuna muarabu wala muislamu ,aliyehusika hapo.Huyo Alex,mnyarwandwa,ndio aliyesababisha vurugu yote hii.
 
Aliyeua ni Alex,mnywaranda,ni mkristo,ameua wasichana watatu wa kizungu,na kujeruhi 9,hakuna muarabu wala muislamu ,aliyehusika hapo.Huyo Alex,mnyarwandwa,ndio aliyesababisha vurugu yote hii.
Azarel, imhotep

Aliyeua ni Alex,mnywaranda,ni mkristo,ameua wasichana watatu wa kizungu,na kujeruhi 9,hakuna muarabu wala muislamu ,aliyehusika hapo.Huyo Alex,mnyarwandwa,ndio aliyesababisha vurugu yote hii.
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Ni Muingereza mwenye Asili ya Rwanda.

View: https://youtu.be/FOGTCKQklPQ
 
Wao ni wageni.Wasiwapangie wenyeji ya kufanya.Watulie,laa sivyo deportation kurudi kwao inawahusu.Bloody-midevu & madera!
Aliyeaua wasichana 3 na kujeruhi 9,ni Alex,mkristo mwenzako,huyu ndiye aliyesababisha vurugu.NA WANAOTAKIWA KUONDOKA NI WAHAMIAJI WOTE,BILA KUJALI Rangi,kabila,dini,huna dini,utaifa nk.
 
Back
Top Bottom