Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na misamiati ya kila ainaBBC naona hii habari hawataki kabisa kuiongelea. Ingekuwa inatokea nchi nyingine wangeonesha Breaking news muda wote. Wanafiki sana BBC
Ushetani wa kwanza "kuletwa" Africa na wageni ilikuwa ni biashara ya watumwa iliyofanywa na Waarabu.Wanaiharibu dunia nzima kama ulikuwa huelewi. Unafikiri ushetani wote duniani unaletwa na nani?
Civilized worldWakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.
Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi
![]()
UK riots latest: Thousands take part in anti-racism protests; petrol bomb thrown at mosque in 'racially motivated' incident
Police are on high alert this weekend amid concerns over more disorder breaking out as protests take place across the country. In Northern Ireland, police are investigating a "racially motivated" attack on a mosque.news.sky.com
View attachment 3061197View attachment 3061198View attachment 3061199View attachment 3061200View attachment 3061201View attachment 3061201View attachment 3061202View attachment 3061202
Wewe umetoa sababu yako. Subiri Waingreza watoe sababu zao.Aliyeaua wasichana 3 na kujeruhi 9,ni Alex,mkristo mwenzako,huyu ndiye aliyesababisha vurugu.NA WANAOTAKIWA KUONDOKA NI WAHAMIAJI WOTE,BILA KUJALI Rangi,kabila,dini,huna dini,utaifa nk.
Hii ina ukweli ndani yakeUkiwa shallow minded unaweza kuona hivyo ila ukifikiria kwa makini kuna kitu kimechochewa na kundi fulani kwa sababu maalumu, hao waarabu wamekuwa wakiishi hizo nchi za ulaya na marekani for decades peacefully why leo
Huyu mmarekani kaweka comment inayoleta maana na huyu ni mzungu lakini kuna kitu kakiona
Kabisa mkuu, hao UK wakishirikiana na US/NATO wamechangia mno kuvuruga maisha kwenye nchi wanazotoka hao wahamiaji kwa sera zao za kibabe za Uvamizi (regime change) na kinyonyaji za kiuchumi kupitia mashirika kama WTO....hivyo wavumilie tu.Hawa waingereza walisambaza ukoloni karibu robo ratu ya dunia leo wanarusha ngumi kiasi wahamiaji tu tena wanaoenda wakiwa hawana silaha yoyote kubwa hata membe na sindano za kuwajeruhi waingereza sidhani kama huwa nazo.
Madhara ya ukoloni wa British empire sidhani kama hawa watu wanaya fahamu.
Waingereza wamefanya na waendelea kufanya na kuunga mkono uharibu sehemu mbalimbali duniani.
Watulie tu waya malize kwa njia ya amani.
Tusirudi nyuma sana, tuanzie tu hapo baada ya vita vya pili vya dunia ambapo wanadamu walikubaliana kwa maslahi ya amani ya kudumu kila mtu alipokuwepo kufikia wakati huo ndio nyumbani kwake na watu wasibadilishe mipaka tena kwa nguvu kama wanavyofanya Urusi huko Ukraine.Kama kila Mtu arudi kwao basi Mwingereza atakula hasara sana Waingereza walioko Australia Canada New Zealand US nk. Kisiwa cha Uingereza watakosa hata sehemu ya kulima Mboga mboga.
Hao UK wakishirikiana na US wameharibu nchi walizotoka hao wahamiaji hivyo wawe wavumilie tu.Hatukatai kuwa British Empire imeleta Ustaarabu na Maendeleo makubwa leo Duniani.
Wananchi wa Uingereza wasikubali Manazi na Wabaguzi wa Rangi kuchonganisha Jamii.
Mimi sitoki ng'oo 😄 🤣Kama kila Mtu arudi kwao basi Mwingereza atakula hasara sana Waingereza walioko Australia Canada New Zealand US nk. Kisiwa cha Uingereza watakosa hata sehemu ya kulima Mboga mboga.
Ndiyo. Tena babu yake alikuwa mhamiaji haramu. Ila ndiyo kaamua kuwa "mkombozi" wao. Kuna tatizo? 😳Huyo Trump ni nani huko Marekani ?? si ndio hao watoto wa wahamiaji ??
Kabisaa...BBC naona hii habari hawataki kabisa kuiongelea. Ingekuwa inatokea nchi nyingine wangeonesha Breaking news muda wote. Wanafiki sana BBC