Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Tena hao Wazungu mbona hawajatembeza kichapo? Inatakiwa watoe kipigo kitakatifu kama walichotoa Wahutu.

Haiwezekani mgeni aje halafu aanze kukutaabisha ndani ya ardhi yako.

Unakuta Mzenji Ahmed Rajabu yuko hapo London akiwaita wenyeji wake waliompokea kwa ukarimu Makafiri, na dharau nyingine za kidini. Kwanini wasishikishwe adabu?
 
Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.

Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi


View attachment 3061197View attachment 3061198View attachment 3061199View attachment 3061200View attachment 3061201View attachment 3061201View attachment 3061202View attachment 3061202
Ukiwakaribisha waarabu wenye msimamo mkali ujue unaharibu nchi yako.
 
Uhamiaji kwa mataifa ya magharibi na Marekani ni tatizo kubwa sana.

Swali la kujiuliza ni jamii ya watu gani wanaohama kwenda kwenye mataifa hayo, na kwanini?
 
Nyerere alishasema ubaguzi ni sawasawa na kula Nyama ya Mtu huachi,, sasa Waingeraza wakibaguana itaenda mpaka ...wewe ni wa Wells rudi kwenu Wells...wewe ni Mscotish rudi kwenu Scotland ...wewe ni MuIrish rudi kwenu Northern Ireland.

Na haitaishia hapo itafikia ...sisi Blondes Blue Eyes ndio Master Race ninyi Brunetes ni Mediterraneans 😆 mambo ya 1930s Dunia inatakiwa isonge mbele sio kurudi nyuma.
Ni kweli kabisa kwani hata wao hawapendani ila sheria zinawabana
Wa hapa hawawapendi wa Welsh na kadhalika
Ila changanyikeni haizuiliki hata wafanyeje
 
Pale Blue Dot sote tunaishi hapa👇hakuna pengine pa kwenda.
_110891851_pia17171_hires.jpg

Usiharibu Mazingira.
 
Hii dunia ikija kufikia watu bilioni 10 itakuwa na mvurugano kweli kila mahali.
Kitu chochote kikishakuwa kingi kupitiliza kinakosa thamani. Binadamu ni zaidi, mkishazaliana mkawa wengiii, mnakosa thamani, hosp wodini mnalundikwa kama mbuzi, unafika una tatizo la mapafu, kuna wenzako 1000 wanashida ya moyo, figo, maini unakuwa hauna uspecial wowote. Usafiri mnakuwa kama ng'ombe, ajira hazitoshi, mnaaza kutapeliana, upendo unapungua wageni mnawaona maadui n.k n.k.
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam zenye Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Mkuu umenikumbusha! nilikwenda kijiji kimoja hapa TZ, ambapo nguruwe wana tembea tu mtaani kama alivyo mbuzi, kondoo na wengineo; basi jamaa mmoja akaona hii sio haki kwa nguruwe kutalii tu pale kijijini, kwa hiyo aka mwendea mwenye nguruwe na kumtaka awafungie nguruwe zake kwenye banda, wasizurule zurule; mwenye mifugo hakuzingatia ushauri ule na nguruwe wakaendelea kuzurula, ndipo akaamua kwenda kumshitaki kwenye Serikali ya mtaa; kesi ikanguruma, mashahidi wa pande zote mbili wakaitwa na wakatoa maelezo yao. Baada ya kusikiliza pande zote mbili, hukumu ikatolewa kwamba; kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, imeonekana kwamba; aliye mfuata mwenzake (kati ya nguruwe na mlalamikaji) kwenye kijiji kile ni mleta mashitaka, hivyo nguruwe ana haki zote za kuendelea kufugwa kama kawaida na mlalamikaji kama anaona hawezi kukaa kwenye kijiji kile kwa sababu ya nguruwe basi ana haki ya kurudi aliko toka. TEMBEA UONE MENGI
 
Hapa duniani tafuta maarifa.

Ni jamii gani duniani yenye teknolojia?
US ndio wanaongoza ndio top na US mafanikio yao makubwa yameletwa na sera za uhamiaji maana US ni kama hapa tunaita rojo mix sasa nitajie hawa wa UK kikubwa walichofanya, na ukiona kampuni zilizopo basi juwa zilianzishwa miaka hiyo sio leo lakini US ni kizazi hiki kipya ukichanganya na wazamani super. UK sasa hivi wafanya biashara tu.
 
Kiuhalusia sidhani kama Kuna nchi wanapenda wageni ,Hilo ni swala lipo naturally hivyo,
 
Ukiwa shallow minded unaweza kuona hivyo ila ukifikiria kwa makini kuna kitu kimechochewa na kundi fulani kwa sababu maalumu, hao waarabu wamekuwa wakiishi hizo nchi za ulaya na marekani for decades peacefully why leo
Huyu mmarekani kaweka comment inayoleta maana na huyu ni mzungu lakini kuna kitu kakiona
Waarabu na Uislam wao ni tatizo kubwa
 
Waarabu na Uislam wao ni tatizo kubwa
Hapana ni chuki zimepandikizwa na mazayuni kipindi hichi baada ya dunia na wazungu kuwasupport palestina nothing else
Huyo trump ambaye anachukia waarabu mtoto wake kaolewa na muarabu kutoka lebanon na ndio campaign manager wake
 
Hapana ni chuki zimepandikizwa na mazayuni kipindi hichi baada ya dunia na wazungu kuwasupport palestina nothing else
Huyo trump ambaye anachukia waarabu mtoto wake kaolewa na muarabu kutoka lebanon na ndio campaign manager wake
Hili halihitaji ufafanuzi, jamii ya Kiarabu iko too divisive, ukichanganya na dini ndio tatizo kubwa zaidi. Nchi za Ulaya zilizokaribisha waislam zina changamoto nyingi za kiusalama, angalia Ufaransa, Ubeljiji etc.
 
Mkuu umeongea point xnaa ila cjui c wabongo tuna akili za namna gani ,,yaani baada ya taarifa ety na wao wanawakandia waamiaji .
Na kuwatetea hao wazungu .
Wamesahau haya yanayotokea ni matunda ya wazungu wenyewe walivyopanda kipindi cha ukoloni
Hakuna cha maana kilichozungumzwa hapo, ukoloni wa karne zilizopita hauwezi kuwa kigezo cha watu kwenda Ulaya na kuendesha magenge ya uhalifu. Kama hoja ni ukoloni mbona watu wasikimbilie nchi za Kiarabu zilizotufanya watumwa?
 
Back
Top Bottom