Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kaeni kwa watu na mfuate taratibu na Sheria zao...mbona hawakuwasumbua miaka yote mpaka nafasi za uongozi Waislam wanapata vizuri tuHuman rights na Demokrasia ndio wanachofuata maana wakikaa kwao kufuata tamadun zao bado bwana wenu anawavamia kama alivyofanya Libya. Sasa wanakuja kwenu huko ulaya ili muwavamie wakiwa huko huko kwenu, najambo zuri kuliko yote wanazaana Kwa speed kubwa Sana.
Once you are in Rome, live as Romans