Nenda Dubai kawaone wengine hata kwao wamesahau.Uarabuni kuna makazi ya mzungu aliyelowea? Jengeni nchi zenu acheni uvivu uvuvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Dubai kawaone wengine hata kwao wamesahau.Uarabuni kuna makazi ya mzungu aliyelowea? Jengeni nchi zenu acheni uvivu uvuvi
Kwann na wao walikuja kwetu ...na kwann bado wako huku na base zao wameeka mataifa kibao na kuwekeza mikataba ya kishenzi hukuSiyo kupungua. Issue ni kuwa kila mtu akashinde mechi za nyumbani kwao. Mechi za ugenini kawaachie wale wa huko ugenini.
SawaHakuna kipya chini ya jua. Mambo yaliyofanyika zamani ndiyo yanafanyika sasa hv. Hv kuna mtu aliamini kama kuna nchi duniani inaweza kuvamia nchi nyingine na kujimegea kipande cha ardhi huku dunia ikiangalia tu? Haya ni mambo yalifanyika zamani na sasa yanafanyika tukiona hapo Ukraine na hakuna nchi inafanya chochote zaidi ya kuangalia tu.
Au jinsi Israel inavyoua watu hapo Gaza si kama simulizi za zamani lakini zinatokea sasa na hakuna mtu anajihangaisha zaidi ya maneno ya hapa na pale. Na huko UK ikitokea full civil war itakuwa mchezo mchezo kama Gaza ila watu ndiyo watakuwa wanauliwa
Na huko south Africa yanapotokeaga haya huwa pia ni waarabu?.Tatizo na chanzo ni hawa jamii ya waarabu na dini yao hawatakagi kukaa kistarabu, wao kila saa ni kuwaza ugaidi tupy
Hakuna kipya kila kitu kinajirudia ..ukoloni upo mpk leoDunia imegawanyika katika zama ama vipindi ni muhimu kutambua historia ya mabadiliko ya dunia.
Matendo mengi ya kale sasa hayawezi fanyika kabisa au kwa urahisi huo unaofikiri.
Kati ya muarabu na hao wengine nani alimfuata mwenzake kwa fujo katika eneo lake ?Swala sio uislam wao, au uarab,
Kila race inapenda ibaki kama inavyotaka, ulaya na america wenyewe wanasema ni nchi za weupe, na inabidi ibaki nyeupe, sasa hawa weusi, Latino, na Arabs wanataka kuharibu demographic,
Kule kwa wa Arab, hawawatski watu weusi kwa sababu wakizaliana Sana, weupe wao utapotea!
Sie huku bongo, hatupendi watu wenye asili ya Burundi, Rwanda,
Muulize na makaburu SA wanafanya nn mpk leo au ndio washakua waafrica weupeNa huko south Africa yanapotokeaga haya huwa pia ni waarabu?.
Nchi iliyostaarabika na yenye wasomi wengi kama Waingereza wala hawana tena shida na rangi ya mtu kwa kiasi hicho unachosema, England wamejitahidi sana kuignore huo ujingaSwala sio uislam wao, au uarab,
Kila race inapenda ibaki kama inavyotaka, ulaya na america wenyewe wanasema ni nchi za weupe, na inabidi ibaki nyeupe, sasa hawa weusi, Latino, na Arabs wanataka kuharibu demographic,
Kule kwa wa Arab, hawawatski watu weusi kwa sababu wakizaliana Sana, weupe wao utapotea!
Sie huku bongo, hatupendi watu wenye asili ya Burundi, Rwanda,
Human rights na Demokrasia ndio wanachofuata maana wakikaa kwao kufuata tamadun zao bado bwana wenu anawavamia kama alivyofanya Libya. Sasa wanakuja kwenu huko ulaya ili muwavamie wakiwa huko huko kwenu, najambo zuri kuliko yote wanazaana Kwa speed kubwa Sana.Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh
Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu
Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam na Waumin wenzao ili waishi watakavyo
kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Hawana silaha wakati unasikia wanadunga watu visu, wewe unaongea vitu gani bwana kila wakati nyie ni kuunga mkono ugaidi.Hawa waingereza walisambaza ukoloni karibu robo ratu ya dunia leo wanarusha ngumi kiasi wahamiaji tu tena wanaoenda wakiwa hawana silaha yoyote kubwa hata membe na sindano za kuwajeruhi waingereza sidhani kama huwa nazo.
Madhara ya ukoloni wa British empire sidhani kama hawa watu wanaya fahamu.
Waingereza wamefanya na waendelea kufanya na kuunga mkono uharibu sehemu mbalimbali duniani.
Watulie tu waya malize kwa njia ya amani.
Soma tena mkuu, kama huelewi kausha.We ni kichaa waamiaji sio waarabu tuh wanigeria ,wasomali,nk .afu kwenye nchi yako waarabu hawapo ?
Hatuezi Vumilia ujinga na hicho ndio kitu tunapishana ...Niliandika uzi juzi namna waislamu wanavyoshindwa kuishi na wenyeji sehemu yoyote duniani hata ukiwakaribisha nikatolea mfano waislamu wazanzibari walionunua ardhi morogoro kule matombo kwaajili ya kulima spice wameanza kukorofishana na wenyeji wanaofuga nguruwe miaka dahari kwahiyo uislamu ni janga popote duniani ukitaka kuishi kwaamani jiepushe kukaa na waislamu sikatai wapo wema na waliostaarabika kama kina jakaya ila walio wengi hawafai.
Wewe umeona nini ?Umeandika nini mkuu?
Utaonekana kuwa na Kichaa au Ujinga ukisema Waingereza ni Wavivu wa kufanya kaziShida ya waingereza na wavivu kazi hawataki wao wako busy kunywa pombe hawa wageni wanachapa kazi hawatafuti ajira wanajifanyia biashara sasa wivu unaanzia hapo, kama wazulu tu wakataka kufanya fujo sababu wao wavivu wenzao wanatafuta. Leo hii wakiondoka wageni wote biashara hakuna ila hapa ngumu sababu wengi ni raia wa UK tu so wana haki kama wengine. Lakini hawa wa UK wamesahau walienea dunia nzima kupora utajiri wa watu wengine maana wao walikuwa hawana kitu zaidi ya jeshi. Sasa zamu yao kwa yale waliyofanyia wengine. Kizazi chao cha zamani walikuwa wanafanya kazi sababu ya ugumu wa maisha wakati ule lakini wa sasa kazi hawataki.
Nani kachomwa kisu ? Na nani ? Na kwa nini ?Hawana silaha wakati unasikia wanadunga watu visu, wewe unaongea vitu gani bwana kila wakati nyie ni kuunga mkono ugaidi.
Yakitokea south Africa, wenyeji wanakua hawatetei nchi yao?.Waingereza wenyeji wako sahihi ; wanatetea nchi yao .
Vurugu hazijaanzia hapo...tangu mwezi May Waingereza wanalalamika kuhusiana na hawa Wahamiaji, same to Italy na SpainChanzo cha vurugu ni kijana wa kikristo kuua
Kwani hao wageni wameenda kuitawala Uingereza?Warudi kwao kwenye sharia law zikawatafune.Wao waingereza walikaa muda gani kwenye maeneo ya wenzao kibabe ?
Tena tushukuru wahamiaji hawaingii kibabe kama walivyo waingereza
Tamaduni zao wanazotetea sasa .mfano mashindano ya Olympic upumbav walionyesha kukashifu ukristo hio umeonesha kwao dini sio kipaumbele Chao kabisa .lakin hapa bongo watu wanavyowatukuza xx mpk unajiuliza hawa wanajua wanachotetea kweli ?Umemaliza ndugu yangu, tukubaliane tu kila mtu afuate utamaduni wa nchi zao na wao waache kulazimisha ushoga katika nchi zetu kujidai haki za binadamu. Sasa lipi lenye haki ya binadamu zaidi, ushoga au kuabudu. Sasa hivi mpaka shuleni wanafundisha watoto kuwa kuna jinsia nyingi sio Male na Female tu yaani hawa jamaa hujui wanataka nini. Tukubaliene tu tusipangine la kufanya. Walitukana Qatar mpaka wakachoka jamaa wakakaza tu, shoga karibu lakini uchafu wako fanyia kwenu.