Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Sipo hapa kusimulia hadithi.

UK mara ya mwisho nilikwenda mwezi May mwaka jana na hizo habari nilizipata kwa wenyeji wangu pale sijatunga.
 
Unafikiri hizo pesa wanazopewa ni za kodi ?? umesahau UK ilichukuwa kiasi gani Iran tu , kwa miaka 50 wakichukuwa mafuta bure , walikuwa hawalipi hata senti moja , hujaja nchi nyingine zilizokuwa ni makoloni yake
Kwahiyo unaamini pesa za mafuta ndio zinatumika kuwahudumia hao asylees?

Basi unatakiwa ujielimishe zaidi kama sio kufika kabisa UK, kuna kodi lukuki nyingi zilikuwa imposed kwa miaka ya karibuni na hao asylee usichokijua sio wazalishaji bali wapo tu wanapewa mahitaji ya kibinadamu bure bila kufanya kazi yoyote.

Kama unafikiri kwamba pesa za mafuta ndio zinatumika unafikiri hao wenyeji wangeenda kuwafanyia fujo?

Naongea nikiwa na ushahidi nilienda hata Sweden hao wahamiaji wengi ni kutoka mataifa ya mashariki ya kati na kwa Africa ni kutoka kaskazini na nchi kama Somalia,Eritrea na Djibouti.
 
Walifanya kila mtu aongee lugha yao wakajoona wao ndio wao, sasa zamu yao wakae kwa kutulia, Uingereza inageuka kuwa Bombay ukichanganya na Cameroon. Na huu mziki ndio kwanza unaanza
 
Huko US ni jamii zipi au zenye asili ya wapi ambazo zinamiliki teknolojia?
 

Hili linahusiana vipi na tukio la Southport au nawe hujui sababu ya vurugu?
 



Your browser is not able to display this video.
 
Aliyetabiri Simpson yametimia bado ya doomsday
 
Kwa hiyo Ile bajeti ya kuwapeleka Rwanda wamepewa hao wazungu kuwafurusha mbali binadamu wenzao.
 

View: https://x.com/OzraeliAvi/status/1820723491580371153
 
Zamu yao mambuzi zao na watajijua wenyewe sisi hatumo
 


Kuna tukio limetokea leo tena huko Uingereza mtu (mzungu) kawachoma visu watu wawili ,binti mdogo na mwanamke mmoja. Aliyemkabili na kumpokonya silaha ni kijana Muislam anaitwa Abdullah.

Matukio kama haya ya kusikitisha yanapotokea watu huwa haraka sana kuutukana Uislam.

Azarel Kinyungu Bulelaa
 
Unawa cc hao mambulula wanaishi malampaka watajua nini kuhusu UK isssues
Vibwengo tu hao wakigalatia wapambane ushoga wa wa imani yao
 
Wakristo wengi hawajitambui, wakisha kula mashudu wanajiona wapo mbinguni, kila kitu tawile,hata kutumia logic jawawezi, hayo mambo ni zao la ukoloni, na new world oder ina ingia taratibu, dunia imeshachafuka, huu si mda wa kulaumu dini wala rangi ya watu, tunacho subiri ni great war dunia irudi kwenye hali ngumu ya ukame, kama huwezi kulima wala kutafuta maji basi umeisha,jitahidini mmiliki ardhi kubwa,mlime na kujiandaa kwa lolote, new world oder ime anza sio mda wa kutukanana ni time ya kukomboa duniia kutoka kwa mabeberu waabudu shetani
 
Noma sana, acha mambo yawe tu , MUNGU arudi, tupotee, ku reach 2050 cdhni, dumian kutakuq ni kubaya sana.
 
Noma sana, acha mambo yawe tu , MUNGU arudi, tupotee, ku reach 2050 cdhni, dumian kutakuq ni kubaya sana.
Wana hasira sasa hivi, maslahi Yao mengi haya endi, afrika watu hawawataki mrusi kashaingiza ushawishi, Asia nako kwa Moto, Ukraine wanapigwa, so kipindi hiki ni cha hasara Tu, kuliko faida kwao bcoz Wana spend kwenye Hamna,kinacho fata ni kumpiga urusi na kujaribu kurudisha ubeberu afrika, kitu ambacho haita wezekana tena, mda huu ni chuma na mchanga kamwe havi ungani, kama mliwahi sikia utabiri 20 years later USA and hi allies they are going to loose control,Miaka ya 2018 ilivuma Sana hii kauli basi ndio sasa, wazungu na wayahudi Wana force ushawishi, na watashindwa hivyo itabidi waingie kwenye vita kuu ya kibabe,
Tusiwe mashabiki wa dini unaona kabisa mtu amedhulumiwa Una support kwasababu ni mkiristo mwenzio mungu hayupo hivyo
 
Mkuu iv russian , putin na yule wa china sio membet wa new world older? Maana wako kinyume na USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…