Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Ahsante mkuu ila mtaarifu urusi ajaribu kutikisa kiberitiWe endelea kuota njozi za mchana, angalia tu usijimwagie maji ya chumvichumvi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu ila mtaarifu urusi ajaribu kutikisa kiberitiWe endelea kuota njozi za mchana, angalia tu usijimwagie maji ya chumvichumvi...
Wanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!Jamaa wamepanic ndo maana wanaogopa kumface mrusi direct maana wanajua kifaa alichokua nacho......na kipindi watakapoweza kuunda hilo kombora ,,mrusi atakua mbele yao zaidi.........jamaa wanahangainga kutest kombora la mach 5 wakati mchina alitest kitu cha mach 8
Mkuu hii katika kutengeneza silaha ni jambo la kawaida sana mwenzako akawa na hii na yule akawa na hii kwani Urusi ilitegemea vifaru vyake vilivyotoka Russia kwa msururu vikaja kuchachagwa ni Stinger na Javeline kutoka US??Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana.
Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya hypersonic, huku Russia ikiwa imeshayatumia mara kadhaa makombora hayo kwenye vita vya Ukraine.
Silaha za hypersonic ni zile zinazozidi kasi ya sauti mara tano. Ni vigumu zaidi kujilinda dhidi ya silaha hizo kwa sababu ya kasi yake na vilevile yanaruka katika mwinuko wa chini - nje ya mstari wa kuonekana kwa rada za ardhini - na yanaweza kurushwa katikati ya ndege.
Mnamo tarehe 19 Machi, Urusi ilidai kutumia kombora la hypersonic kuharibu ghala la silaha magharibi mwa Ukraine, na ujasusi wa jeshi la Marekani umependekeza kuwa vikosi vya Urusi vimezitumia mara kwa mara tangu wakati huo. Mashambulizi hayo yaliashiria matumizi ya kwanza ya makombora ya hypersonic katika mapigano.
=========
View attachment 2179945View attachment 2179946
Kaogopa wakati kazi imeshafanyika sahv watu wanalia tu na gharama za maisha na dola lao........vita ya akili kubwa hii sio zimbabwe hao waliofanya hilo tukio........unashambulia sehem 1 tena ndani ya siku chache ila effects zinasambaa kote na unayumbisha sarafu na uchumi wa adui yako..............kama wanazo si watumie wanaanza kulialia nini....vita wanayoweza ni propaganda tu za kwenye media na kuonea vitaifa vidogo, wakipata size yao wanaufyata na kuendeleza taarabu tuWanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!
Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.
Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
Hujui unachokiongea wewe...Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenyewe General Austin ambaye anafahamu maana ya hiyo silaha ya haipasoniki anahaha Marekani waipate walau teknolojia yake, na alalamika kuwa Marekani wako nyuma ya Russia, China na North Korea...mpaka Wamarekani wameamua hadi kuunganisha nguvu za pamoja na Uingereza na Australia lakini mziki bado kwao ni mgumuMkuu hii katika kutengeneza silaha ni jambo la kawaida sana mwenzako akawa na hii na yule akawa na ile
Hii si hoja, kwani unahakika alizonazo Marekani Russia anazo? Marekani wanapenda na kufanyia kazi kila kitu hasa kwenye masuala ya silahaHujui unachokiongea wewe...Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenyewe General Austin ambaye anafahamu maana ya hiyo silaha ya haipasoniki anahaha Marekani waipate walau teknolojia yake, na alalamika kuwa Marekani wako nyuma ya Russia, China na North Korea...mpaka Wamarekani wameamua hadi kuunganisha nguvu za pamoja na Uingereza na Australia lakini mziki bado kwao ni mgumu
View attachment 2180442
Waambie hawa hapa madhaifu watatu walioungana kuisaka teknolojia ya makombora ya hypersonic kwa nini wanaungana wakati kumiliki hilo kombora sio hoja?Hii si hoja, kwani unahakika alizonazo Marekani Russia anazo? Marekani wanapenda na kufanyia kazi kila kitu hasa kwenye masuala ya silaha
Tuone basi hao unaowaita wadhaifu 3 wakiwaabudu Russia, China na North Korean kwa sababu ya hypersonics., ni vile kichwa chako ni kigumu sana., China tehchnologia yake yote aliyonayo imetoka Marekani si kwambii hao wa chini yake, na ndio mana katika mzozo huu wa ukraine china anaitetemekea Marekani usiku na mchana, akiulizwa umewapa silaha urusi mikojo inamtoka anasema sisubutu mkuu, akiulizwa unaunga mkono russia anasema hapana mi nataka wazungumze yamalize kwa amaniWaambie hawa hapa madhaifu watatu walioungana kuisaka teknolojia ya makombora ya hypersonic kwa nini wanaungana wakati kumiliki hilo kombora sio hoja?
Wenzao waneipata kila mmoja kivyake (Russia, China na North Korea), wao wanambwelambwela tu
View attachment 2180490
Wale wanaodai Marekani na washirika wake ndio WENYE SILAHA BORA KULIKO WENGINE WOTE DUNIANI watakuja kubishana kuhusu hili 🤣🤣Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana.
Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya hypersonic, huku Russia ikiwa imeshayatumia mara kadhaa makombora hayo kwenye vita vya Ukraine.
Silaha za hypersonic ni zile zinazozidi kasi ya sauti mara tano. Ni vigumu zaidi kujilinda dhidi ya silaha hizo kwa sababu ya kasi yake na vilevile yanaruka katika mwinuko wa chini - nje ya mstari wa kuonekana kwa rada za ardhini - na yanaweza kurushwa katikati ya ndege.
Mnamo tarehe 19 Machi, Urusi ilidai kutumia kombora la hypersonic kuharibu ghala la silaha magharibi mwa Ukraine, na ujasusi wa jeshi la Marekani umependekeza kuwa vikosi vya Urusi vimezitumia mara kwa mara tangu wakati huo. Mashambulizi hayo yaliashiria matumizi ya kwanza ya makombora ya hypersonic katika mapigano.
=========
View attachment 2179945View attachment 2179946
Kwa hiyo kwa hizo ngonjera ulizoweka hapo na kupoteza muda wako kuandika maneno meengi ndio kumefanya Marekani kuwa na kombora la haipasoniki?Tuone basi hao unaowaita wadhaifu 3 wakiwaabudu Russia, China na North Korean kwa sababu ya hypersonics., ni vile kichwa chako ni kigumu sana., China tehchnologia yake yote aliyonayo imetoka Marekani si kwambii hao wa chini yake, na ndio mana katika mzozo huu wa ukraine china anaitetemekea Marekani usiku na mchana, akiulizwa umewapa silaha urusi mikojo inamtoka anasema sisubutu mkuu, akiulizwa unaunga mkono russia anasema hapana mi nataka wazungumze yamalize kwa amani
Wapo wanapambana mkuu, mpaka wanaleta stori eti Marekani anayo lakini hataki kujionesha🤣🤣🤣Wale wanaodai Marekani na washirika wake ndio WENYE SILAHA BORA KULIKO WENGINE WOTE DUNIANI watakuja kubishana kuhusu hili 🤣🤣
Waliziponda ama walizisemea UKWELIMkuu hii katika kutengeneza silaha ni jambo la kawaida sana mwenzako akawa na hii na yule akawa na hii kwani Urusi ilitegemea vifaru vyake vilivyotoka Russia kwa msururu vikaja kuchachagwa ni Stinger na Javeline kutoka US??
Juzi Marekani waliponda drone za Uturuki kwamba hazikusaidia chochote kwa jeshi la Ukraine dhidi ya russia,
🤣🤣 Yaani ikiwa Marekani imekiri hana silaha hizo basi wapiga nzumari wao huku dunia inayoendelea watakuambia "WAMEAMUA TU KUFICHA UKWELI BALI WANAZO HIZO SILAHA" ha ha haWapo wanapambana mkuu, mpaka wanaleta stori eti Marekani anayo lakini hataki kujionesha🤣🤣🤣
We ebu fatilia taarifa vzr teknologia ya silaha za china majority ni russian based...na unapokuja kwenye suala la missiles russia kawaacha mbali sana marekani na ndio maana kwa miaka mingi marekani ameendelea kutumia rocket za russia kwenye matumizi yake NASA..shida ni kuwa asilimia kubwa tunasikiliza taarifa za upande mmoja tuTuone basi hao unaowaita wadhaifu 3 wakiwaabudu Russia, China na North Korean kwa sababu ya hypersonics., ni vile kichwa chako ni kigumu sana., China tehchnologia yake yote aliyonayo imetoka Marekani si kwambii hao wa chini yake, na ndio mana katika mzozo huu wa ukraine china anaitetemekea Marekani usiku na mchana, akiulizwa umewapa silaha urusi mikojo inamtoka anasema sisubutu mkuu, akiulizwa unaunga mkono russia anasema hapana mi nataka wazungumze yamalize kwa amani
Acha porojoAcha uongo, bado Marekani hawajafanikiwa sio tu kuunda kombora la hypersonic bali hata kuimudu teknolojia yake. Waziri wa Ulinzi mwenyewe wa Marekani General Lloyd Austin majuzi jumanne amesema Marekani imeamua kuakhirisha programu ya kutengeneza kombora la hypersonic kwa mwaka mmoja toka sasa baada ya kufeli kwa jaribio la nne walilofanya hivi karibuni. Na hii ni habari imeripotiwa jana tarehe 7 April na vyombo kibao vya kimataifa vikiwemo Bloomberg news na CNN.
Msituchukulie poa, tupo well updated na taarifa za duniani.
======
View attachment 2180051View attachment 2180052View attachment 2180053
Kaogopa wakati kazi imeshafanyika sahv watu wanalia tu na gharama za maisha na dola lao........vita ya akili kubwa hii sio zimbabwe hao waliofanya hilo tukio........unashambulia sehem 1 tena ndani ya siku chache ila effects zinasambaa kote na unayumbisha sarafu na uchumi wa adui yako..............kama wanazo si watumie wanaanza kulialia nini....vita wanayoweza ni propaganda tu za kwenye media na kuonea vitaifa vidogo, wakipata size yao wanaufyata na kuendeleza taarabu tu
Hujui unachokiongea wewe...Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenyewe General Austin ambaye anafahamu maana ya hiyo silaha ya haipasoniki anahaha Marekani waipate walau teknolojia yake, na alalamika kuwa Marekani wako nyuma ya Russia, China na North Korea...mpaka Wamarekani wameamua hadi kuunganisha nguvu za pamoja na Uingereza na Australia lakini mziki bado kwao ni mgumu
View attachment 2180442
Yaani hao Warusi wa Mchambawima wana vichwa panzi,vyombo hivyo hivyo wanavyodai ni vya propaganda vikileta habari ambazo hawazipendi wanadai ni propaganda lakini zikileta habari zinazowafurahisha wanatumia kama reference.Jaman si tulikubaliana US na vyombo vyao vya habar vikiwemo na vya west ni watu wa propaganda , bbbimekuaje tena hii habar ikawa na ukwel wakat imetolewa na us na vyombo ivyo ivyo vinavyotajwa ni propaganda au kuna habar na habar yake
[emoji1787][emoji1787] Yaani ikiwa Marekani imekiri hana silaha hizo basi wapiga nzumari wao huku dunia inayoendelea watakuambia "WAMEAMUA TU KUFICHA UKWELI BALI WANAZO HIZO SILAHA" ha ha ha