Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

Wanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!

Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.

Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
 
Mkuu hii katika kutengeneza silaha ni jambo la kawaida sana mwenzako akawa na hii na yule akawa na hii kwani Urusi ilitegemea vifaru vyake vilivyotoka Russia kwa msururu vikaja kuchachagwa ni Stinger na Javeline kutoka US??
Juzi Marekani waliponda drone za Uturuki kwamba hazikusaidia chochote kwa jeshi la Ukraine dhidi ya russia,
 
Wanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!

Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.

Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
Kaogopa wakati kazi imeshafanyika sahv watu wanalia tu na gharama za maisha na dola lao........vita ya akili kubwa hii sio zimbabwe hao waliofanya hilo tukio........unashambulia sehem 1 tena ndani ya siku chache ila effects zinasambaa kote na unayumbisha sarafu na uchumi wa adui yako..............kama wanazo si watumie wanaanza kulialia nini....vita wanayoweza ni propaganda tu za kwenye media na kuonea vitaifa vidogo, wakipata size yao wanaufyata na kuendeleza taarabu tu
 
Mkuu hii katika kutengeneza silaha ni jambo la kawaida sana mwenzako akawa na hii na yule akawa na ile
Hujui unachokiongea wewe...Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenyewe General Austin ambaye anafahamu maana ya hiyo silaha ya haipasoniki anahaha Marekani waipate walau teknolojia yake, na alalamika kuwa Marekani wako nyuma ya Russia, China na North Korea...mpaka Wamarekani wameamua hadi kuunganisha nguvu za pamoja na Uingereza na Australia lakini mziki bado kwao ni mgumu

 
Hii si hoja, kwani unahakika alizonazo Marekani Russia anazo? Marekani wanapenda na kufanyia kazi kila kitu hasa kwenye masuala ya silaha
 
Hii si hoja, kwani unahakika alizonazo Marekani Russia anazo? Marekani wanapenda na kufanyia kazi kila kitu hasa kwenye masuala ya silaha
Waambie hawa hapa madhaifu watatu walioungana kuisaka teknolojia ya makombora ya hypersonic kwa nini wanaungana wakati kumiliki hilo kombora sio hoja?

Wenzao waneipata kila mmoja kivyake (Russia, China na North Korea), wao wanambwelambwela tu


 
Tuone basi hao unaowaita wadhaifu 3 wakiwaabudu Russia, China na North Korean kwa sababu ya hypersonics., ni vile kichwa chako ni kigumu sana., China tehchnologia yake yote aliyonayo imetoka Marekani si kwambii hao wa chini yake, na ndio mana katika mzozo huu wa ukraine china anaitetemekea Marekani usiku na mchana, akiulizwa umewapa silaha urusi mikojo inamtoka anasema sisubutu mkuu, akiulizwa unaunga mkono russia anasema hapana mi nataka wazungumze yamalize kwa amani
 
Jaman si tulikubaliana US na vyombo vyao vya habar vikiwemo na vya west ni watu wa propaganda , bbbimekuaje tena hii habar ikawa na ukwel wakat imetolewa na us na vyombo ivyo ivyo vinavyotajwa ni propaganda au kuna habar na habar yake
 
Wale wanaodai Marekani na washirika wake ndio WENYE SILAHA BORA KULIKO WENGINE WOTE DUNIANI watakuja kubishana kuhusu hili 🤣🤣
 
Kwa hiyo kwa hizo ngonjera ulizoweka hapo na kupoteza muda wako kuandika maneno meengi ndio kumefanya Marekani kuwa na kombora la haipasoniki?

China hii hapa ikiwaduaza wanaintelijensia wa Marekani kwa kutesti kombora la kipekee ambalo liliizunguka kwanza dunia na kisha kwenda kurudi aridhini kushambulia tageti...kitu ambacho Marekani alikuwa hajawahi kufikia kama kinawezekana kabla ya hapo...

 
Waliziponda ama walizisemea UKWELI
Ile sio vita MKUU bali ni OP maalum tu
 
We ebu fatilia taarifa vzr teknologia ya silaha za china majority ni russian based...na unapokuja kwenye suala la missiles russia kawaacha mbali sana marekani na ndio maana kwa miaka mingi marekani ameendelea kutumia rocket za russia kwenye matumizi yake NASA..shida ni kuwa asilimia kubwa tunasikiliza taarifa za upande mmoja tu
 
Acha porojo
 
 
 
Jaman si tulikubaliana US na vyombo vyao vya habar vikiwemo na vya west ni watu wa propaganda , bbbimekuaje tena hii habar ikawa na ukwel wakat imetolewa na us na vyombo ivyo ivyo vinavyotajwa ni propaganda au kuna habar na habar yake
Yaani hao Warusi wa Mchambawima wana vichwa panzi,vyombo hivyo hivyo wanavyodai ni vya propaganda vikileta habari ambazo hawazipendi wanadai ni propaganda lakini zikileta habari zinazowafurahisha wanatumia kama reference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…