Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

Mbona humaliziii habari yote........bado ni test tu hakuna cha kombora badoView attachment 2181146
Kwa hiyo US hawana makombora ya hypersonic?!!!

So, unafikiri test ikiwa 'successful' wanaachia hapo, hawatengenezi?!

"Which countries have hypersonic missiles?
Return to menu
Russia, China and the United States have the most advanced hypersonic weapons programs, but other countries including Japan, Germany, India and Australia are also developing them, according to the CRS report.

"The United States has been conducting research on hypersonic weapons since the early 2000s and is developing them under the Navy’s Conventional Prompt Strike program as well as other programs that fall under the Air Force, the Defense Advanced Research Projects Agency and the Army..."

 
Imani yako itakuponya nenda kwa amani
 
Naona umeshikwa pabaya dogo...hakuna kombora la hypersonic missile lililotestiwa hapo...kilichotestiwa ni engine yake tu (scremjet). Labda kama kiingereza kinakutatiza kwenye kuelewa mambo hayo.

Program ya hypersonic missiles imemwendea vibaya Marekani, na maafisa wa Marekani wenyewe wanasema matarajio labda mwaka 2023...halafu wewe mMarekani wa Tandahimba wajitia kubisha kibubusa



 
Kuna mwamba alisema scramjet ya Mmarekani ni bora kuliko hypersonic ya Urusi, nikabaki kucheka tu. Elimu haijatukomboa vya kutosha na yote ni kujiona wajuaji kuliko wanaotengeneza hivyo vitu. Unakuta mtanzania hajui uundaji wa silaha za nuclear lakini anavyoielezea
 

Vipi mkuu Kiingereza kinakupiga chenga nini?!...maana waweka maelezo yanayokupinga mwenyewe. Sentensi hiyo yazungumzia nchi ambazo zina mipango/tafiti za kutengeneza makombora ya haypasoniki...katika nchi hizo zote zilizotajwa ni nchi mbili tu ndio zenye makombora hayo ambazo ni Russia na China.

Na kati ya hizo mbili, ni Russia tu ndio keshayatumia makombora hayo vitani kuangamiza ngome za kijeshi za Ukraine zilizokuwa chini ya ardhi pamoja na kuangamiza bohari za silaha za jeshi la Ukraine...
 
Haya, kwa wewe mjuaji wa Kiingereza nionyeshe kwny hiyo article ni wapi imeelezwa kuwa Urusi na China tu ndo wanamiliki hypersonic ila Us hawana!!!
 
Jaman si tulikubaliana US na vyombo vyao vya habar vikiwemo na vya west ni watu wa propaganda , bbbimekuaje tena hii habar ikawa na ukwel wakat imetolewa na us na vyombo ivyo ivyo vinavyotajwa ni propaganda au kuna habar na habar yake
Mna ushuzi wa kutosha wa kutengeneza gas yenu?
 
Una uhakika USA hana hypersonic ?

Rudi kasome Tena uliposoma
Kwani US kama hana hypersonic huwezi kwenda msalani? Wenyewe wamesema wameachwa mbali wewe unalalama kwa hiyo unaumwa kiuno kuona Russia kamwacha US na NATO kwenye supersonic? Basi nenda kanye ulale hii game ya wakubwa urusi ndiye baba lao.
 
Haa..kweli wewe una uelewa mdogo aisee...sasa suala la ku
Haya, kwa wewe mjuaji wa Kiingereza nionyeshe kwny hiyo article ni wapi imeelezwa kuwa Urusi na China tu ndo wanamiliki hypersonic ila Us hawana!!!
Polee Mkuu, naona umepaniki!

Unaomba msaada tena kwangu kukutafsiria article ambayo wewe mwenyewe ndio umeileta😂🤣😇😀

Jifunze kujisimamia mwenyewe kwenye kusoma na kuelewa articles



 
China ataitoa wapi technologia bila ya Marekani? izo ni kelele zimo katika masikio yenu tu
 

unachosema ni kweli kabisa ila tatizo linakuja pale mnapochagua habari , wamarekani wakisema mrusi anapigwa huko ukraine mnasema propaganda ila akisema bado cjaweza kutengeneza silaha za kasi mnasema hio habari ya kweli, kwann msione kila habari ya mmarekani ni propaganda? au msoipenda ndo inabandikwa upropaganda?
 
Unavoonekana hujui hata maana ya propaganda...propaganda siku zote ni taarifa za kiupendeleo dhidi ya adui yako mfano nchi inaporipoti madhaifu yake vitani hapo kuna chance ya hiyo taarifa kuwa kweli maana haina masirahi yoyote kwake lkn inapofika nchi inaripoti mazuri tu upande wake kuliko kwa adui yake inaweza kuwa ni kwelli lakini kuna chance kubwa ya kuwa propaganda...so suala la vyombo vya marekani kukili kuwa hawana hypersonic missile linai undermine us in military strength kitu ambacho hakina masirahi yeyote kwake
 
Hii ni baada ya China kutest mtambo mwezi wa kwanza ambao uliwashtua maana ulienda space halafu ukarudi huku ukiwa maneuvered wakati silaha za hypersonic kwa teknolojia yao ilikuwa huwezi kuiongoza ukishaset target ndo basi.
China alidai kagundua mawimbi ya 5G yanayoweza penetrate kwenye barrier inayotengenezwa wakati silaha ikiwa inatembea speed kubwa hivyo kuruhusu kuiongoza.
Pia china katangaza kutengeneza ndege ya abiria ambayo itakuwa inakimbia mara 2 ya sauti yanj kutoka beijing to newyork iwe saa 2 tu. Naona hata marekani wameanza project hiyo.
China siku zote ni one man show.
 
Ukipata habari lazima utumie maarifa kung'amua ukweli na uongo wake...sio kila habari ni ya kubeba kama ilivyo, kama ilivyo siyo kila habari ni ya kuiacha kama ilivyo...

Nina uwezo wa kuchuja propaganda, na kutambua habari za kweli...wewe kama huwezi kuchuja vitu hivyo, usilazimishe wengine tuwe kama wewe...TUSIPANGIANE SOURCES ZA KUCHUKUA TAARIFA
 
Tofauti ni kwamba kabla hawajafanya maafa yeyote kwao patakuwa jivu
Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.

Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…