Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

Hii itabamba sana [emoji23]
Sema tiktok umekua mtandao wa hovyo sana hasa Africa(kuna kashfa zinatembea kuwa night kali watu wanaenda live mambo ya kikubwa)kitu cha kuhuzunisha😥😥
 
Ni figisu kama walizofanyia huawei, unajua wazungu wanajiona wao ndio namba moja kila kitu wanataka kumiliki wao

Si figisu is proven. Tiktok contents za china ni zingine kabisa, wakati za nchi nyingine ni maudhui yasio na staha.
Why kwao contents ni za maadili wakati za nje hakuna maadili?
 
Si figisu is proven. Tiktok contents za china ni zingine kabisa, wakati za nchi nyingine ni maudhui yasio na staha.
Why kwao contents ni za maadili wakati za nje hakuna maadili?
Unakumbuka figisu za huawei?
 
Haiuzwi kama ilivyouzwa Twitter.

Wamarekan wanataka wawe na Shea humo, la sivyo waipige marufuku Nchini Marekan.

Hii ni kufuatia TikTok kwasasa kua mtandao unaopendwa Duniani kote.
 
Huo hata account sina ila nimeona malalamiko kenya kuwa usiku unageuka kuwa sodoma
 
Wachina wamefungia mitandao ya west kama Facebook, Instagram, WhatsApp, n.k

Kwa nini Marekani na West wameshindwa kuupiga ban TikTok licha ya kudaiwa kuwa ni kitisho kwa usalama wa mataifa yao?
Ili wawapeleleze wachina kwa mapana
 
Wachina nawakubali sana, haina kupoa wala haina kufikiri mara mbili. China, Russia, North Korea etc my best countries
 
Ukiambiwa uchague kuishi kati ya Marekani na Korea Kaskazini kwa Kiduku utaenda wapi?

Korea kaskazi kwa wabandidu kwani korea tunafuata vita.Sasa korea na tanzania wapi bora kuishi.
 
Back
Top Bottom