PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ungetaka kuishi Korea usingekua unazurula humu mitandaoni, huku ukilalamikia bei za bundle.Korea kaskazi kwa wabandidu kwani korea tunafuata vita.Sasa korea na tanzania wapi bora kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungetaka kuishi Korea usingekua unazurula humu mitandaoni, huku ukilalamikia bei za bundle.Korea kaskazi kwa wabandidu kwani korea tunafuata vita.Sasa korea na tanzania wapi bora kuishi.
Nimekulalamikia usingizini au?Halafu sijataka kuishi korea nimejibu swali la yoda ntakapopachagua.Ungetaka kuishi Korea usingekua unazurula humu mitandaoni, huku ukilalamikia bei za bundle.
Huwa unapenda kulalamika ukiwa usingizi?Nimekulalamikia usingizini au?Halafu sijataka kuishi korea nimejibu swali la yoda ntakapopachagua.
Toa inzi huyo jichoni.Huwa unapenda kulalamika ukiwa usingizi?