Uingereza waanza kujilaumu na kushuku kuwa BREXIT ndio mwanzo wa mdororo wa uchumi wake

And Boris who led the country to the self made chaos, enjoys the retirement!
 
Sio kweli labda mwaka 1978 ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mtoto mdogo sana. Uchumi wa Tanzania ulianza kuyumba baada ya kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 lkn baada ya vita 1979 ndio ukafa kabisa hadi leo.
Mkuu FisadiKuu yupo sahihi mwaka 2000 GDP ya Tanzania ilikuwa kubwa kuliko ya Kenya. Angalia picha hapo chini:
 
Walikuwa wana salamu eti zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm hapo ndio Ujinga ulipoanzia
 
GDP sio kipimo sahihi cha kupima uthabiti wa uchumi wa nchi kwani GDP inaweza kuwa kubwa lakini hela yenu haina thamani na nguvu ya manunuzi kwa pamoja.

Nguvu ya sarafu katika manunuzi ni muhimu sana. The currency's purchasing power.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbona hata Currency yetu haikuwa imeachana na ya Kenya mpaka kipindi hicho??
 
Amgalau sasa wanaanza kuuona mwanga. Haiwezekani mkawa na mabadiliko ya kila mara ya Mawaziri Wakuu, halafu kila anayeingia ana matatizo. Sera za Waziri Mkuu milyemuweka wenyewe na sera zake mkiwa mnazijua na kuzikibali, anawezaje kutikisa uchumi wa nchi ndani ya siku 40 tu?
 
Kikwete alipokea uchumi imara sana toka kwa mkapa, alichofanya yeye ndio hiki anafanya hanganya!
 
Na sasa ruto anaenda kuongeza gap refu sana tusubiri tuone
 
UK walirejea matumizi ya Pound yao na wakaachana na EURO mazima..

Hata hivyo Jamaa walikuwa mguu nje mguu ndani toka EU imeundwa, hawakuwahi kukubali kuachana na Pound moja kwa moja kama walivyofanya wenzao wengine..
Kwani wakiwa EU waliachana na Pound? Acha fix za kijinga ba kuna nchi pia ziko EU na zinatumia pesa zao kama Denmark,
 
Kuna nchi kama tatu hivi ziko EU na zinatumia pesa yao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…