Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa sijui shida yao niniWavaa kobasi hao wanapinga Kila kitu.
Nani kakuambia haya ?...acha uongoPropaganda hizo hata huko pia haiwezekani labda kama wanataka kufanya show kama hivyo ili kuwadanganya watu, Malkia Elizabeth hajawahi kufunga mkanda na wala hakuwahi na leseni ya udereva na alikuwa anaedesha gari!
Nani kakuambia haya ?...acha uongo
Hilo kwa kiongozi wa taifa sio la kushangaza.Malkia wa Uingereza hata passport hakuwa nayo na alikuwa JUU ya Sheria za Uingereza hata mtoto wake Mfalme yuko JUU ya Sheria za Uingereza hashitashiki popote nchini Uingereza!
kwa vile kuna wafalme, wezi, wauaji, watekaji and all sorts of hooligans in powerNi Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani
Kujamba ni kosa? Kati ya mifano yote ya hovyo inayofanywa na watawala, umeona jambo la kiasili la mwili ndio kosa?! WaTz akili zetu, sijui.Huko ndiko kuna utawala wa sheria, huku hata rais akijamba watu watashangilia
Nadhani alikusudia huko kushangiliwa na watu ndio nomaKujamba ni kosa? Kati ya mifano yote ya hovyo inayofanywa na watawala, umeona jambo la kiasili la mwili ndio kosa?! WaTz akili zetu, sijui.
Jifunze kitu inaitwa rhetoricKujamba ni kosa? Kati ya mifano yote ya hovyo inayofanywa na watawala, umeona jambo la kiasili la mwili ndio kosa?! WaTz akili zetu, sijui.
Na mashoga pia mnakimbilia huko pamoja na wavaa kobaziNdio mana wavaakobazi wanakimbilia huko,hakunaga maayatollah huko.
Kushinda kibibi Malika Elizabeth.Magufuli aliharibu sana hii nchi.
Uhusiano wake ni kuvunja sheriaKufanya Sherehe na Kuendesha gari bila mkanda kuna uhusiano gani?
Ila tukiwa tumechoka sana!!!Tutafika tu, kwani wao walianza je?