Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Ngojea tukupige msasa kijana upate kuelewa mambo
Kama umeumwa miaka zaidi yakumi umelala kitandani halaf mie nikaja nikakutwanga shaba kama aliotwangwa nayo Shinzo Abe ukakata moto
Mie itakua sijakua nawala sijahusika nakifo chako kisa umeumwa nakukaa kwabed miaka hio
Turudi huku
Sawa jamaa kaanza kashkash muda toka saga la korona najuzi hapa alifaulu kura yakutokua naimani nae
Ila wananchi wanalalama hali tete vitu bei ghali havikamatiki wala kushikika nahawana namna yakueka sawa kwasasa wala karibuni
Msitafte pakutokea Nendeni MOSCOW mkapige goti mkomboke la sivyo PARIS BERLIN mpaka WASHINGTON hadi ROME mkae mkao wakula nakuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Samia atajiuzulu Lini?​

 
Duh! Kule mstafu kala chuma mala kule sijui anajiuzulu, nadhani muda sahihi unaongea.
 
Watanzania wengi lugha ya kiingereza inawatesa sana mpaka wanafikiria sababu zilizopelekea Boris Johnson kujiuzulu ni vita vya Russia na Ukraine wakati Uingereza haipigani hivyo vita.
Mkuu, inaweza ikawa ni sababu pia,lakini ufahamu wa mambo na hata akili ya utafiti kwa watanzania wengi iko chini sana, habari kama hii unaweza kuisoma au kuisikia toka BBC Kiswahili,wengi wetu ni ushabiki tu.Masaibu ya Boris Johnson sio ya leo, maisha yake binafsi, misimamo yake imekuwa ikiwatatiza sana waingereza.Inashangaza kuona ushabaki wa Urusi unapofusha macho ufikiri wa wengi.
 
Hakuna uhusiano wowote na Russia mkuu, mbona News ziko wazi, BBC imeweka wazi mambo matano yaliyomwondoa Waziri Mkuu,hata serikali itayaoundwa haibadili chochote msimamo wa UK kuhusu Ukraine
Mkuu hizo sababu ni propaganda tu.
Ukweli utabaki kuwa Russia ametikisa NATO na maisha ya watu wa Ulaya. Dawa inaingia taratiib

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Putin 1 - UK 0
 
Mkuu hizo sababu ni propaganda tu.
Ukweli utabaki kuwa Russia ametikisa NATO na maisha ya watu wa Ulaya. Dawa inaingia taratiib

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app

Mkuu hizo sababu ni propaganda tu.
Ukweli utabaki kuwa Russia ametikisa NATO na maisha ya watu wa Ulaya. Dawa inaingia taratiib

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mkuu si ungethibisha angalau ndugu yangu, hivi unajua nani wako hata kwenye orodha ya kumrithi Boris Johnson, kwa maoni yako Liz Truss asingekuwa kabisa kwenye orodha ya juu, msimamo wa Urussi ni mkali,uwe unafanya homework kidogo unapoandika ndugu yangu, hata ukiwa shabiki wa lolote unajaribu kuwa na objectivity, kuna clip ilisambaa mtandaoni juu ya Johnson miezi kabla hajajiulizi, ulikuwa unajua kakalia kuti kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…