Hio vita ni kama imechochea jamaa kuchukiwa, huku yeye akidhani kuchochea hio vita ingeweza kusaidia kutuliza hali mbaya waliokua nayo ndani ya nchi,,,,,uingereza kuna bomu kubwa linafukuta sema tu kwasababu ya hii vita wanaficha mengi......Scotland inataka ijitenge iwe nchi huru,, kwenye issue yao ya brexit wameshaanza kugombana na wenzao wa EU sababu ya sheria zao huko Ireland.......mambo ndo kwanza yanaanza , na Putin lazima aifanye hii vita iwe ndefu ili kuwavuruga zaidi pole pole
View attachment 2283521