Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Jiulize kwa nini kwenye mkutano wa zile Gunia7 kule Bavaria, ambako mada kuu ilikuwa vita vya Ukraine, kulikuwa na maandamano makubwa ya watu?Unaweza hata kutumia Google ili ujue sababu za Boris kujiuzulu
Urusi hii inayoongozwa na mtu mmoja kwq zaidi ya 2 decades?Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Ametolewa kwa kosa la mapuuza ya kumchagua mtu aliyekuwa na kashfa ya kuwashika shika watu kingono bila ridhaa yao.Nimeamini Russia sio tegeta
Urusi anahusika nini hapa ?! Mbona uelewa mdogo !!Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Angalia Hapa[emoji116][emoji4]
Haina huusiano na Russia!Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Aisee! Nimekumbuka enzi zileee za mdudu corona, hata vifo vya ajali barabari, wale pro-Kovidi na Pro-Chanjo walikuwa wanaviakiza kwamba vimetokana na maambukizi ya virusi vya korona.mkuu ukiwa kwenye uwanja vita hata adui yako afe kwa njaa lazima ujitangazie ushindi
kwa hili Putin apewe ushindi tuu
mgoja na baridi inakuja
Machache: Kumteua mtu aliyekuwa na scandal ya mapenzi, alikataa kuwa hakuwa anajua, alipobanwa akakubali alikuwa anajua jambo hiloMakosa Gani hayo tunaomba tuyafahamu
Haina huusiano wa yeye kujiuzuluAngalia Hapa[emoji116][emoji4]View attachment 2283689View attachment 2283690
Chifu tunazungumzia sababu zilizofanya wananchi, wabunge na mawaziri wa UK kumbadilikia Boris, haihusiani na maandamano wala mkutano wa G7Jiulize kwa nini kwenye mkutano wa zile Gunia7 kule Bavaria, ambako mada kuu ilikuwa vita vya Ukraine, kulikuwa na maandamano makubwa ya watu?
Hiki ndicho Mmarekani na kiranja wao mkuu, Uingereza, walitamani sana kingetokea Russia kwa vikwazo vyao vya kiuchumi.Angalia Hapa[emoji116][emoji4]View attachment 2283689View attachment 2283690
Ungesema huuelewi uhusiano, angalau ningekuona bonge la muungwana. Uhusiano huo upo na ni mkubwa na angavu sana kama jua. Wasiouona wana lao jambo.Chifu tunazungumzia sababu zilizofanya wananchi, wabunge na mawaziri wa UK kumbadilikia Boris, haihusiani na maandamano wala mkutano wa G7
Mkuu hayo maandamano yalikuwa tarehe ngapi?Angalia Hapa[emoji116][emoji4]View attachment 2283689View attachment 2283690
Waingereza wameona pesa za walipa-kodi zinateketea bure mifukoni mwa wachache, na kwenye uwanja wa vita, ambako nako, badala ya mafanikio, Ukraine inazidi kumegwa kila kukicha.Kuwa challenged na maoni ya mihemko ni jambo la kawaida ila kuna wakati inafika mahala ushabiki unaenda overboard. Kujiudhulu kwa viongozi wakuu inchini uingereza ni jambo la kawaida sana na imetokea mara nyingi. Issue za ukraine sio personal wenzetu hawana huo ujinga lazima bunge likae kujadili kuona kama inafaa. Nenda kupitie maoni ya wahusika wenyewe utajionea utofauti na Sisi tunaojifanya wajuaji.
Huu ndio ukweli mtupu. Mods embu fungeni huu uzi tukafanye mambo mengine ya kulijenga taifa.Hamna kitu hapo..watakua wanaona aibu kuwa wawazi tu...maisha yamekuwa magumu, gharama za maisha zimepanda, mafuta hali ngumu, korona yenyewe..halafu yeye yuko bizy na UKRAINE.....wamemla kichwa kistaarabu hao...
Tuliwaambieni mapema kwamba Mmarekani si mtu mzuri, mkabishi! Haya sasa yametia.USA wamemponza[emoji26]
Unajua kuwa Boris alikuwa anapigiwa ya kura ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inawasilishwa na wabunge wa chama chake? unajua sababu ilikuwa ni nini?Ungesema huuelewi uhusiano, angalau ningekuona bonge la muungwana. Uhusiano huo upo na ni mkubwa na angavu sana kama jua. Wasiouona wana lao jambo.
Habari hatuzitoi kokote; tunazo sie. Kwani wewe umepata wapi habari kwamba uondoshwaji wake hautokani na vita vya Ukraine?Watu wanataka wasikie kuwa katolewa kwa sababu ya Ukraine, sijui habari hizo wanazitoa wapi