Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Hayo yote na MENGINE MENGI ZAIDI tunayaelewa hata kabla barua yenyewe haijaandikwa. Lakini sababu kubwa moja ya kuondoshwa kwa mpenda-damu huyo ni uchochezi wa vita vya Ukraine.

Boris Johnson alipaswa kujiunga na mnafiki Macron ili wamshinikize Marekani amwache Zelensky afuate masharti ya mkataba wa awali. But wao walitenda kibabe wakijua Putin atawapigia magoti.

Wameumbuka!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo sababu kubwa unayoizungumzia, naomba unionyeshe link / chanzo cha habari kilichosema kuwa Boris kajiuzulu kwa sababu hiyo unayoisema

Hata TV za UK zilizosema sababu ni hiyo, nitajie moja wapo

Au

Asante
 
Mbona unateseka unajieleza saana kubali mwamba Putin ndo mume wenu

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Jinsi hawa Pro-NATO wanavyojikanyaga ni sawa na mtu kauwa, then akajitetea kwa kusingizia kwamba hata hivyo marehemu alikuwa mgonjwa kabla yeye hajamuua--kwamba kilichosababisha kifo chake, siyo kipigo bali ni ugonjwa aliokuwa nao before.
 
Hivi ndio inavyotakiwa katika nchi za kidemokrasia, unaachia ngazi mara moja ikiwa presha za kisiasa zimekuzidi nguvu. Kwa Tanzania hata mwenyekiti wa kijiji huwezi muona akiwajibika kuachia ngapi ikiwa hatakiwi na wananchi wake.
Hata hivyo alichelewa sana kujiuzuru. Hadi karibu senior ministers wote wanamuacha jana bado aliendelea kung'ang'ania na kujaribu kuteua wengine. Nadhani ana roho nyingine isiyo ya Waingereza pure. Presuure aliyopata jana, alipaswa kujiuzuru jana ile ile - amekiharibu chama chake
 
Umejitahidi kuelezea kwa kina sana. Lakini nakuhakikishia 100%, hawezi kukuelewa. Bila shaka fahamu zake ziko remotely controlled kutoka Washington & London.
 
Jinsi hawa Pro-NATO wanavyojikanyaga ni sawa na mtu kauwa, then akajitetea kwa kusingizia kwamba hata hivyo marehemu alikuwa mgonjwa kabla yeye hajamuua--kwamba kilichosababisha kifo chake, siyo kipigo bali ni ugonjwa aliokuwa nao before.
Kweli walitegemea Putin ndo atajiuzuru ila wao ndo wameishia kujiudhuru

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sababu kubwa unayoizungumzia, naomba unionyeshe link / chanzo cha habari kilichosema kuwa Boris kajiuzulu kwa sababu hiyo unayoisema

Hata TV za UK zilizosema sababu ni hiyo, nitajie moja wapo

Au

Asante
FYI: Hivyo vyanzo vya habari unavyoviamini ndivyo vilikuwa mstari wa mbele kutangaza kwamba Iraki kuna silaha za maangamizi ya halaiki (WOD), na kwamba Muammar Gaddafi ni gaidi na anafadhili ugaidi.
 
Visingekuwepo vita Ukraine, na kwamba hiyo isingekuwa sababu, wala hata asingechukua muda kujiuzulu.

But aibu hii ya mwaka--ya kushindwa vita--ataificha wapi? Pesa za burebure za msaada wa Ukraine atazipata wapi?
 
Alikuwa ametumika kisiasa ili kuivuta Afrika ielekee Magharibi, lakini akashindwa vibaya.
 
Urusi hii inayoongozwa na mtu mmoja kwq zaidi ya 2 decades?
Naona umeongezea sababu mojawapo positive kwa Putin. Kwa sababu asingetawala muda wote huo kama asingekuwa hodari. Think about it!

Biden wenu hata 2 years hajamaliza, wazalendo wameanza kumwashia taa nyekundu.
 

Andika habari kama msomi.

Hakuna kujiuzu rasmi na kujiuzulu kusiko rasmi.

Boris Johnson amejiuzulu.

Period.
 
Usichokijua ni kwamba UK raia wengi sana wanavichukia vita vya Ukraine. Na msukumo mkubwa wa kuhamasisha vita hivi ulitokana na ushawishi wa Boris Johnson--bila kutaja unufaikaji mkubwa ambao amejipatia yeye binafsi...
Hawawezi kukuelewa mkuu.

Watu walishaamua aondoke kutokana na hali ngumu ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa vikwazo vya kiboya dhidi ya Russia ndiyo sababu.

Sasa kilichokuwa kimebaki ni lini na namna gani Kobe atatoa kichwa ili watu wapite nacho
 
Hajaondolewa na vita.
Hata waziri mkuu mpya ataendelea kuwa msaada kwa Ukraine.
Vita imemwondoa Boris Johnson.
Huku kwetu wanakomaa tu mpaka lita ya diesel itafika elfu 10 hakuna wa kuwajibika.

Je, akichaguliwa mwingine anaweza kubadilisha chochote kwenye mfumuko wa bei?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sijui leo Vladimr Putin atakavyoinywa Vladimir Vodka

Mshanaaaaaaaaaaaaaa......
anawazia nan anaingia madarakani ? maana anaepambana kuw successor inasemekana ni moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…