We ndiye mwenye uelewa mdogo unayeangalia matokeo badala ya kuangalia mchakatao. Hicho unachokisema wewe kuwa ni sababu ya kujiuzuru ni sehemu tu kamba ilipokatikiaUrusi anahusika nini hapa ?! Mbona uelewa mdogo !!
Ni upuuzi na uphaller wa kiwango cha juu kumpa Urusi credit katika hili.
Huyu Boris ameanza kupitia misuko suko kuanzia kipindi cha korona hili ni hitimisho tu...
Achana na watoto wadogo maana hakuna wanachotaka kujua wala kujifunza zaidi ya ushabiki tu
You cant even use your common sense. Ebo!Hiyo sababu kubwa unayoizungumzia, naomba unionyeshe link / chanzo cha habari kilichosema kuwa Boris kajiuzulu kwa sababu hiyo unayoisema....
Naona umeongezea sababu mojawapo positive kwa Putin. Kwa sababu asingetawala muda wote huo kama asingekuwa hodari. Think about it...
Still unakuwa mkaidi,watu wana taratibu zao kukabidhiana madaraka siyo kama mnavyofanya kwenye vicoba vyenu au hizi nchi zenu hizo tuhuma anazo tangia 2020/21 siyo za leo.Labda wewe ndio ufatilii,kwa hiyo swala LA COVID la miezi 6 liliopita ndio limafanya ajiuzulu au sio??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] yaani nina furaha sanaWINTER SEASON is coming lazma waende MOSCOW kupiga goti
Maisha ya waingereza yamekuwa magumu je ya watanzania yakoje na mbona sisi wala hatuongei chochote..!!Maisha ya waingereza yamekua magumu,
Badala ya kuwaza anayawekaje sawa, Yuko bize na vikao vyao Ukraine akiwazia jinsi gani anamkomoa Putin[emoji16]
Tanzania hali ikoje, tuanzie hapo ili tusiwe wanafiki.Kama huna uwezo wa kufikiria lazima useme hivyo huoni uchumi umetikisika,mfumuko wa bei,gesi imepanda bei.uingereza haipigani hiyo Vita lakini inatumia resources zake nyingi mpaka nchi inafilisika proNato mnafikiria Kwa nini?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ana roho ya kiafrica kiafricaHata hivyo alichelewa sana kujiuzuru. Hadi karibu senior ministers wote wanamuacha jana bado aliendelea kung'ang'ania na kujaribu kuteua wengine. Nadhani ana roho nyingine isiyo ya Waingereza pure. Presuure aliyopata jana, alipaswa kujiuzuru jana ile ile - amekiharibu chama chake
Hakuna uhusiano wowote na Russia mkuu, mbona News ziko wazi, BBC imeweka wazi mambo matano yaliyomwondoa Waziri Mkuu,hata serikali itayaoundwa haibadili chochote msimamo wa UK kuhusu Ukraine
Nyie ujinga ndio unawasumbua kwa sababu ya itikadi ya kidini, sasa subiri uone kama waziri mkuu ajaye atageuka na kuiunga mkono Russia ndio utakubaliana na mimi kwamba nyie ni wajinga.Wananchi gani hao wa uingereza uliowasikia maoni yao kama sio viongozi mbalimbali? Ulitegemea hao viongozi watoe maoni ya namna gani?
Vyovyote vile hali itakavyokuwa, Russia ina future mbaya sana kuanzia mwaka ujao.Hio vita ni kama imechochea jamaa kuchukiwa, huku yeye akidhani kuchochea hio vita ingeweza kusaidia kutuliza hali mbaya waliokua nayo ndani ya nchi,,,,,uingereza kuna bomu kubwa linafukuta sema tu kwasababu ya hii vita wanaficha mengi......Scotland inataka ijitenge iwe nchi huru,, kwenye issue yao ya brexit wameshaanza kugombana na wenzao wa EU sababu ya sheria zao huko Ireland.......mambo ndo kwanza yanaanza , na Putin lazima aifanye hii vita iwe ndefu ili kuwavuruga zaidi pole poleView attachment 2283521
Watarudi tu kwa Putin wakitaka wasitakeHii ishu ya Boris naona Kama imewahi mno, tukielekea kwenye winter EU serikali kibao zitaanguka. Sidhan Kama Kuna wananchi watakubali kurisk maisha magumu kwa ugomvi usiowahusu[emoji4]
Una akili za kitoto Sana huja qualify kujibu maoni yangu. Nenda kanyonye kwa mama yako ulale.Mbona unateseka unajieleza saana kubali mwamba Putin ndo mume wenu
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha kwa mtu kama Assad mambo yangekua vile vile kama Wamarekani wangemchagua Clinton badala ya Trump?
Mimi naamini kiherehere cha UK kwa Ukraine kitapungua walau kidogo baada ya Boris Johnson kuachia ngazi.
Oyaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji119] njooni tuwavheke tim nato wa mbagara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]