Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Uingereza imezoea kutumia makoloni yake au kutumia washirika kupigana vita, wambie wasimame peke yao mwanzo mwisho kama aibu aitawaandama
 
mkuu labda tukushangae wewe

UK ana bonafide modern military experience more than 1000years

UK yenye ardhi kama nukta ana uchumi wa GDP 3.34Trilioni wakati Urusi yenye ardhi kubwa kama Africa nzima ina GDP ya 2Trilion

UK sio matacor kama unavyodhani mzee
 
Tunza hii post , kwasasa Urusi ni koloni la China , nyiny mnashangilia mitandaoni ila Kila kitu ndan ya Urusi ni made in China , siku China alijenga ties na west bas Urusi amaliz wiki kwenye hii vita
 
Nilisoma mahali taarifa ya huyo jamaa, niliishia tu kucheka! Maana unaona kabisa anaitishia nyau Urusi.
Mtu huez kujishonea hata chipi , sijui akil za kumkosoa huyo jamaa unatoka wap , huyo Urusi mwenyew kaingia chimbo kujitathimin
 
Kwa hiyo huyu British General hayajui hayo unayoyajua wewe?
 
Mkuu shule hukufundishwa paragraph, mkato na nukta ktk uandishi?
 
Tunza hii post , kwasasa Urusi ni koloni la China , nyiny mnashangilia mitandaoni ila Kila kitu ndan ya Urusi ni made in China , siku China alijenga ties na west bas Urusi amaliz wiki kwenye hii vita
Huna akili.
 
Mbali na hiyo, Russia ana kila aina ya rasilimali, kuanzia mafuta mpaka madini, pia kumbuka hata watu ni rasilimali pia. Russia ni mzembe, kwa resources ambazo anazo alipaswa kuwa mbali zaidi ya hapo.
 
Yees, that's true
 
Kwamba
 
Huu ushabiki mnao ufanya as if mnashabikia mpira siyo mzuri dada angu..madhara ya hizi vita sisi hatuwezi kuyakwepa..let us be honest. Haipendezi hata kidogo
Ngoja tuvisiwa huto tuzamishwe kmmk
 
Katika dunia hii kuna mataifa matatu tu ambayo yakiungana yanaweza kuchakaza taifa lolote likapoteana. Mataifa hayo ni USA, UK na France. Kati yao hakuna ataye ingia vitani bila support ya wengine. USA pamoja na power aliyo nayo hawezi kuingia vitani bila ya support ya UK na France. Hizo nchi tatu ndo NATO yenyewe. Hao ndo mabwana wa vita katika dunia hii. Sio kwa miaka iliyopita wala leo au kesho. Kwa sasa hakuna mataifa yenye umoja wa vita kama USA, UK na Ufaransa. Na walivyo na akili wanahakikisha hakuna mataifa yanayofanikiwa kutengeneza umoja wa kupigana kama wao. Kwenye issue za vita wako vizuri kiteknolojia, kimbinu, kiuchumi na kipropaganda. Mataifa mengine kuja kuwazidi hao sio leo
 
India, Canada na Japan zote Zina uchumi mkubwa kuliko Russia, je yeyote kati yao anaweza mpiga Russia?
Kinachopigana vita siyo uchumi tu ndugu. Kinachongaliwa zaidi ni nguvu ya kijeshi (yaani military superiority) Kwa kungazia mambo yaguatayo: silaha, techonojia, stratejia, ukubwa na uwezo wa jeshi.
 
Una akili ndogo au huna kabisa.

Hujui kuwa Ulaya mashariji ni eneo la muungano wa NATO?
Hujui kuwa UK ni sehemu ya NATO?
Kuna ulale dogo
 
Kwa hiyo logistics zinafanywa kwa maombi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…