Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.
Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda