Uingereza yaishtumu Rwanda kufanya kazi na ISI na ADF kufanya mauaji DRC

Muonyeni jamaa yenu Mr slim atachakazwa muda sio mrefu. Tena battle itahamia Palepale uzayuni ya bongo.
Yeye si ajajifanya gentle wakiafrika. Mzungu hanaga huruma
Slim alishasema mwanaume kufa kwa maleria ni aibu bali kifo cha heshima kwake ni risasi.
 
Kagame kashasema" Whoever will touch the borders of Our Beloved Small Country.......Hiiiiii!!

Waandishi wakacheka😀😀

Akamalizia " We will fight like People has nothing to loose and the responsible person will pay the price than Us.

Kana kwamba anasema atakayeigusa Rwanda, japo watapata hasara lakini mvamizi atalipa gharama na madhara makubwa kuliko wao.
Domo tu. Sababu anajua congo ni dampo lililotelekezwa kila mtu anajiokotea tu
 
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi
WANA WAZIRI wa Mambo ya Nje mmoja tu.

HAKUNA Waziri wa Mambo ya nje aneshugulika na Wadengeleko na mwingine anashughulika na Wachina na mwingine wadosi wa Punjab. Acha kutudanganya danganya we mjuba we.
 
Sawa elewa hivyo sijazumgumza anaeshughukia wachina nimesema Afrika, wenzetu wamegawa hususani Afrika elewa Geopolitics kwanza
 
WANA WAZIRI wa Mambo ya Nje mmoja tu.

HAKUNA Waziri wa Mambo ya nje aneshugulika na Wadengeleko na mwingine anashughulika na Wachina na mwingine wadosi wa Punjab. Acha kutudanganya danganya we mjuba we.
elewa tu hivyo wenzetu wana idara maalumu ya mambo ya Afrika hata soma USA and European foreign policy and geopolitics kumbe we bado umelalal daah amka
 
ADF ndio siwaelewi nini wanataka maana kila siku mipango yao ni kuchinja watu tu, awachukui maeneo kwa maana ya kuongeza maeneo wanayo kaa.
Wao ni kuua watu na kukimbia, yaani mambo ya ajabu na kusikitisha.
 
Kagame kashasema" Whoever will touch the borders of Our Beloved Small Country.......Hiiiiii!!

Waandishi wakacheka😀😀

Akamalizia " We will fight like People has nothing to loose and the responsible person will pay the price than Us.

Kana kwamba anasema atakayeigusa Rwanda, japo watapata hasara lakini mvamizi atalipa gharama na madhara makubwa kuliko wao.
Yuko madarakani kwa sababu ya kuwatawala wanyarwanda kidikteta. Siku kagame akijaribu kuingia vitani hata na Burundi tu ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kitutsi nchini Rwanda. Na yeye analijua hilo na kauli zake za vitisho zinaonesha kuwa ni mtu anayeishi kwa hofu sana.
 
Wazungu vigeu geu sana ukute wameshaingia deal na upande wa pili, wa mwanzo wanamtosa Tena bila consideration yoyote. Na propaganda za kumchafua zinaanza,
 
Yuko madarakani kwa sababu ya kuwatawala wanyarwanda kidikteta. Siku kagame akijaribu kuingia vitani hata na Burundi tu ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kitutsi nchini Rwanda. Na yeye analijua hilo na kauli zake za vitisho zinaonesha kuwa ni mtu anayeishi kwa hofu sana.
Anaishi kwa hofu? Go and try😀😀
 
ADF ndio siwaelewi nini wanataka maana kila siku mipango yao ni kuchinja watu tu, awachukui maeneo kwa maana ya kuongeza maeneo wanayo kaa.
Wao ni kuua watu na kukimbia, yaani mambo ya ajabu na kusikitisha.
Ma cobra fc😆😆 wazee wakupiga na kupotea
 
Back
Top Bottom