Uingereza yaishtumu Rwanda kufanya kazi na ISI na ADF kufanya mauaji DRC

Sawa elewa hivyo sijazumgumza anaeshughukia wachina nimesema Afrika, wenzetu wamegawa hususani Afrika elewa Geopolitics kwanza

Waweje na Waziri anaeshughulikia Waafrika wasiwe na anaeshughulikia Wachina ??????

Na wa Wa Spanish ????

We bana we usitulishe tango pori we mtu we
 
Cha muhimu some content ya habari hayo mengine unatafuta majungu tu elewa habari basi
 
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.

Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Mwaka huu Twanda hatoboi, EU yote lazima umuwekee vikwazo
 
Sawa mkuu tugange yajayo boss muhimu taarifa umeshaisoma
Taarifa sijaikubali, ya uongo.

UK hawana Waziri wa Mambo ya nje kwa kila kundi na kabila la dunia.

Waziri wa Mambo ya Nje yupo mmoja tu, wa dunia nzima. Anaitwa David Lammy.

Post Script: Undersecretary sio Waziri
 
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.

Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Usipoweka chanzo cha hii habari MBOKA NA NGAI Matawi ya juu watabisha .
 
ADF?! kama anao ushahidi au anatulisha matango yaliyofanyiwa GM.

Hizi ni tuhuma nzito sana kwanini serikali ya Rwanda haijazijibu fasta.
 
Lakini unadua kuishi kwa vifaranga vya kuku si huruma ya mwewe? Huwezi kuzuia mvua kunyesha ikiwa wingu limetanda. We kunywa maji upooze koo, maana unaotaga mchana tu. Rwanda haihitaji huruma ya yeyote kuishi
Ondokeni Drc..
 
Back
Top Bottom