Uingereza yaishtumu Rwanda kufanya kazi na ISI na ADF kufanya mauaji DRC

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.

Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Mikwara bubu na kuwapa matumaini hewa wanyonge. Pembeni wanakutana na Kagame wanampa Fedha za maendeleo WB na IMF
 
Kipigo atakachopewa mwingereza na M23 atahadithia
Kagame kashasema" Whoever will touch the borders of Our Beloved Small Country.......Hiiiiii!!

Waandishi wakacheka😀😀

Akamalizia " We will fight like People has nothing to loose and the responsible person will pay the price than Us.

Kana kwamba anasema atakayeigusa Rwanda, japo watapata hasara lakini mvamizi atalipa gharama na madhara makubwa kuliko wao.
 
🤣🤣🤣 kashachoka
 
Bado Awajasema Watasema Kweli kuwa awa ADF sio Waislam ni MAWAKALA wa WAZUNGU MZUNGU mpuudhi sana kwenye Dunia yetu . Apigwe tu.
Wewe unasumbuliwa tu na udini, kwani hakuna Wazungu Waislam?
 
Bado Awajasema Watasema Kweli kuwa awa ADF sio Waislam ni MAWAKALA wa WAZUNGU MZUNGU mpuudhi sana kwenye Dunia yetu . Apigwe tu.
Wewe unasumbuliwa tu na udini, kwani hakuna Wazungu Waislam?
 
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.

Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Uingereza ikikomaa tu. Jamaa mrefu kwesha habari yake. Yale ya Muamal Gadaff yatamhusu
 
Muonyeni jamaa yenu Mr slim atachakazwa muda sio mrefu. Tena battle itahamia Palepale uzayuni ya bongo.
Yeye si ajajifanya gentle wakiafrika. Mzungu hanaga huruma
 
Mwingereza huyu huyu? Kwani Rwanda si ni Sovereinity country?
 
Halafu jihadists wanafiki wamekua wakidai kwamba serikali za wazungu eti ndizo zinaitumia Rwanda kuishambulia Congo sasa wanapoona taarifa kama hizi wanaingia mitini. Bure kabisa.
 
🤣😃 itakua wamesha mtumia mr slim now kaota mapembe so ameanza kuwadindia walio mpa power ngoja kiwake tuone
Tshisekedi kaamua kupigana kisomi, safari zake za ulaya sijui kawahonga nn wazungu hadi wameanza kumtema slim shady, ngoja tuone mwisho itakuaje
 
Back
Top Bottom