Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Nimecheka sanaKipigo atakachopewa mwingereza na M23 atahadithia
Cornelio Nangaa ataiteka Manchester wakati akielekea London..Nimecheka sana
Bado Awajasema Watasema Kweli kuwa awa ADF sio Waislam ni MAWAKALA wa WAZUNGU MZUNGU mpuudhi sana kwenye Dunia yetu . Apigwe tu.Kama hili ni kweli nasi jamaa wamefika pabaya sana. Hao ADF ni wanaua watu wasio na hatia kama wanaua kuku tu.
Na anavyojionaga mtukufu,mteule,mtu wa kipekeeKuna Mtu anatafutwa yaani wanamtafuta kinyatu nyatu
Waanze na Kagame. Akifa hajaenda wapelekwe watoto wake. Ikishindikana watoto, basi wajukuu! Kwa kifupi Kagame aache laana kwa uzao wake au uzao wake upotee kabisa baada yake kama ulivyopotea uzao uzao wa Hitler!Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.
Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Slim ananyemelewa kwa style nyingineWaziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.