Sawa elewa hivyo sijazumgumza anaeshughukia wachina nimesema Afrika, wenzetu wamegawa hususani Afrika elewa Geopolitics kwanza
Cha muhimu some content ya habari hayo mengine unatafuta majungu tu elewa habari basiWaweje na Waziri anaeshughulikia Waafrika wasiwe na anaeshughulikia Wachina ??????
Na wa Wa Spanish ????
We bana we usitulishe tango pori we mtu we
Mwaka huu Twanda hatoboi, EU yote lazima umuwekee vikwazoWaziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.
Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Content ya habari haiaminiki kwa sababu mleta habari huelewi mambo ya dunia, ukisoma huelewi.Cha muhimu some content ya habari hayo mengine unatafuta majungu tu elewa habari basi
Sawa mkuu tugange yajayo boss muhimu taarifa umeshaisomaContent ya habari haiaminiki kwa sababu mleta habari huelewi mambo ya dunia, ukisoma huelewi.
UK ina Foreign Minister mmoja tu.
Taarifa sijaikubali, ya uongo.Sawa mkuu tugange yajayo boss muhimu taarifa umeshaisoma
Usipoweka chanzo cha hii habari MBOKA NA NGAI Matawi ya juu watabisha .Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq na ADF- NALU kufanya mauaji nchini DRC.
Aidha, Lord Collins amesema vikundi hivyo vimesababisha hali ya kutotulia kwa baadhi ya maeneo ya maziwa makuu hasawa nchini DRC,amesema Uingereza itahakikisha wahusika wote mmoja mmoja wanafikishwa katika vyombo vya kisheria kujibu uhalifu wa kivita na mauaji yanayoendelea nchini DRC, pia serikali ya Uingereza inafikiria tena kuongeza vikwazo vigumu zaidi kwa serikali ya Rwanda
Lakini unajua kuishi kwa vifaranga vya kuku si huruma ya mwewe? Huwezi kuzuia mvua kunyesha ikiwa wingu limetanda. We kunywa maji upooze koo, maana unaotaga mchana tu. Rwanda haihitaji huruma ya yeyote kuishiUsipoweka chanzo cha hii habari MBOKA NA NGAI Matawi ya juu watabisha .
Ondokeni Drc..Lakini unadua kuishi kwa vifaranga vya kuku si huruma ya mwewe? Huwezi kuzuia mvua kunyesha ikiwa wingu limetanda. We kunywa maji upooze koo, maana unaotaga mchana tu. Rwanda haihitaji huruma ya yeyote kuishi
Kupata VITUKO kama hivi andika M24 KWENDA no 17665Kipigo atakachopewa mwingereza na M23 atahadithia