Huyo ndio mother of all nations sasa.
Umesahau alikutawala hapahapa miaka mingi na ulishindwa kumtoa hadi akaamua mwenyewe kuondoka?
.
Wahindi hawana hamu nae, Hong Kong wameanza kumtaka tena soon atarudi
Nimeandika Ilan na si ilani...hata hivyo nisharekebisha...boost hiyo CPU ya ubongo wako uwe unaona maneno vizuri... Au ikiwezekana tumia kingroot uu-root kabisa kwa faida yako...Nadhani ulimaanisha ILANI ya chama hapo.
dodge
Hahah Australia wameita mpk army reserve kuja kupambana na moto hao wanajeshi wa kupigana na Iran itawatoa wapi,hahah.
Canada imebidi ijaribu kuwasaidia Australia kuzima huo moto maana la sivyo wataisha.
Hao wakizingua unapiga kombora moja tu kwny misitu yao moto unaendelea kwa kasi unawaacha wanazima moto tu hahah.
dodge
Hilo shambulio limekuja baada ya USA kumuua Kassim. That means USA wasingemuua Kassim hilo shambulio lisingetokea. And and top of that,my concern is why UK hakulaani mauaji ya Kassim ?Hilo shambulio limewaathiri waingereza pia... Walikuwa na watu wao pia...hivyo hakuna cha idiot hapo
Sasa unadhani UK angekurupuka kuingia kwenye Vita kama unavyofikiri...kapigana vita vingapi... Anaelewa vita imemfikisha hapo alipo...pamoja na hayo UK ashateka meli kadhaa za Iran... Iran akajibu nnIran waliiteka tanker ya UK,Nini kiliendelea baada ya hapo kama unadhani UK ni mbabe kwa Iran?
Huu udaku umeutoa wapi mzee?
Alikuwa threat na kwao pia...Hilo shambulio limekuja baada ya USA kumuua Kassim. That means USA wasingemuua Kassim hilo shambulio lisingetokea. And and top of that,my concern is why UK hakulaani mauaji ya Kassim ?
Hilo shambulio limekuja baada ya USA kumuua Kassim. That means USA wasingemuua Kassim hilo shambulio lisingetokea. And and top of that,my concern is why UK hakulaani mauaji ya Kassim ?
Huu udaku umeutoa wapi mzee?
Kirahisi hivyo.... ThubutuWatani zangu Liverpool mna mkosi ...
Uingereza anasogeza pua Vita na iran,.... Iran anaangusha Bomu pale London na EPL inasimamishwa huku Liverpool akilikosa Kombe kale ...
Ligi itarudiwa mwakani ...
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anapigania nchi yake kama wao wanavyopigania nchi zao. Mtu akikuzidi akili anakuwa threat kwako na unameliminate ? Why usipambane umchallenge kiakili ?Alikuwa threat na kwao pia...
Kwan UK hana mzozo na Iran.... Hiyo ni faida na kwao pia... Wacha uchizi,fikiria...Asingeweza kulaani,maana USA ni mme wa UK.
Na since UK ameshaolewa imebidi akubali kulala bila chupi tu.,hamna namna tena.
dodge
Kwan UK hana mzozo na Iran.... Hiyo ni faida na kwao pia... Wacha uchizi,fikiria...
Dunia inabadilika mwaka 2003 China ilikuwa Nchi ya 7 kwa uchumi Imara lkn leo ni Nchi ya pili baada ya America.kwa hivyo watu waache kukariri eti Uingereza na America hawapigiki'wanapigika sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Challenge kiakili!! Hii itaisha lini sasa... Kama ni kutumia akili unadhani vita baina ya US na Japan WWII ingecome to an end... Iran hasikii..,Iran ana kiburi..., anataka aonekane mwanaume kwenye hamna... Anachallenge wakubwa zake... Anataka ashindane na US,UK...Mmoja wapo hapo anatosha kumfutilia mbali..., akawe si kitu mbele ya uso wa dunia..Alikuwa anapigania nchi yake kama wao wanavyopigania nchi zao. Mtu akikuzidi akili anakuwa threat kwako na unameliminate ? Why usipambane umchallenge kiakili ?
wanafiki sana Iran anaonyesha dunia kua amechoka kuonewa japo anajua uwezo wake mdogo kwa wakuu wa duniaUingereza bwana, yaani alipolipuliwa Qassim Soleimani na Marekani hawakuona wala hawakulaani ila Iran wanapojibu mapigo unalaani!!!