Uingereza yalaani shambulio la Iran

Uingereza yalaani shambulio la Iran

Hahah na ni huyu huyu mtawala wa dunia Tanker lake la mafuta lilikamatwa na Iran akalia lia weeee na hakurusha hata risasi 1 kwenda Iran.
Huyo ndio mother of all nations sasa.
Umesahau alikutawala hapahapa miaka mingi na ulishindwa kumtoa hadi akaamua mwenyewe kuondoka?
.
Wahindi hawana hamu nae, Hong Kong wameanza kumtaka tena soon atarudi

dodge
 
Nadhani ulimaanisha ILANI ya chama hapo.

dodge
Nimeandika Ilan na si ilani...hata hivyo nisharekebisha...boost hiyo CPU ya ubongo wako uwe unaona maneno vizuri... Au ikiwezekana tumia kingroot uu-root kabisa kwa faida yako...
 
Abnormall kabsa wewe
Hahah Australia wameita mpk army reserve kuja kupambana na moto hao wanajeshi wa kupigana na Iran itawatoa wapi,hahah.

Canada imebidi ijaribu kuwasaidia Australia kuzima huo moto maana la sivyo wataisha.

Hao wakizingua unapiga kombora moja tu kwny misitu yao moto unaendelea kwa kasi unawaacha wanazima moto tu hahah.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu Liverpool mna mkosi ...

Uingereza anasogeza pua Vita na iran,.... Iran anaangusha Bomu pale London na EPL inasimamishwa huku Liverpool akilikosa Kombe kale ...

Ligi itarudiwa mwakani ...

Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo shambulio limewaathiri waingereza pia... Walikuwa na watu wao pia...hivyo hakuna cha idiot hapo
Hilo shambulio limekuja baada ya USA kumuua Kassim. That means USA wasingemuua Kassim hilo shambulio lisingetokea. And and top of that,my concern is why UK hakulaani mauaji ya Kassim ?
 
Iran waliiteka tanker ya UK,Nini kiliendelea baada ya hapo kama unadhani UK ni mbabe kwa Iran?
Sasa unadhani UK angekurupuka kuingia kwenye Vita kama unavyofikiri...kapigana vita vingapi... Anaelewa vita imemfikisha hapo alipo...pamoja na hayo UK ashateka meli kadhaa za Iran... Iran akajibu nn
 
Hilo shambulio limekuja baada ya USA kumuua Kassim. That means USA wasingemuua Kassim hilo shambulio lisingetokea. And and top of that,my concern is why UK hakulaani mauaji ya Kassim ?
Alikuwa threat na kwao pia...
 
Asingeweza kulaani,maana USA ni mme wa UK.

Na since UK ameshaolewa imebidi akubali kulala bila chupi tu.,hamna namna tena.

Alikuwa anapigania nchi yake kama wao wanavyopigania nchi zao. Mtu akikuzidi akili anakuwa threat kwako na unameliminate ? Why usipambane umchallenge kiakili ?
 
Asingeweza kulaani,maana USA ni mme wa UK.

Na since UK ameshaolewa imebidi akubali kulala bila chupi tu.,hamna namna tena.

dodge
Kwan UK hana mzozo na Iran.... Hiyo ni faida na kwao pia... Wacha uchizi,fikiria...
 
Alikuwa anapigania nchi yake kama wao wanavyopigania nchi zao. Mtu akikuzidi akili anakuwa threat kwako na unameliminate ? Why usipambane umchallenge kiakili ?
Challenge kiakili!! Hii itaisha lini sasa... Kama ni kutumia akili unadhani vita baina ya US na Japan WWII ingecome to an end... Iran hasikii..,Iran ana kiburi..., anataka aonekane mwanaume kwenye hamna... Anachallenge wakubwa zake... Anataka ashindane na US,UK...Mmoja wapo hapo anatosha kumfutilia mbali..., akawe si kitu mbele ya uso wa dunia..
 
Uingereza bwana, yaani alipolipuliwa Qassim Soleimani na Marekani hawakuona wala hawakulaani ila Iran wanapojibu mapigo unalaani!!!
wanafiki sana Iran anaonyesha dunia kua amechoka kuonewa japo anajua uwezo wake mdogo kwa wakuu wa dunia
 
Back
Top Bottom