Uingereza yalaani shambulio la Iran

Wenye access na Twitter ya Jiwe mtupatie mrejesho ametweet chochote mpaka sasa au amesahau sisi ndio donour country kwa sasa
 
Maneno mengi ya nini,si mumfute kwny ulimwengu kama mna ubavu huo.

Endeleeni kulia lia tu huko twitter ila cha kumfanya Iran hamna.
dodge
 
Watani zangu Liverpool mna mkosi ...

Uingereza anasogeza pua Vita na iran,.... Iran anaangusha Bomu pale London na EPL inasimamishwa huku Liverpool akilikosa Kombe kale ...

Ligi itarudiwa mwakani ...

Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
tutacheza ata kuzimu ubingwa ni wetu tu kama mmepanga na Iran mvuruge matokeo tumewanyari Haahaaa haaa
 
Maneno mengi ya nini,si mumfute kwny ulimwengu kama mna ubavu huo.

Endeleeni kulia lia tu huko twitter ila cha kumfanya Iran hamna.

dodge
Watu wanajua athari za vita hawataki kuingia hovyo... US China anamnyemelea... UK still ana struggle arudi nafasi yake sababu ya hiyohiyo vita.... Ila akiforce atakiona cha mtema makuni...
 
Iran wanamchokoza yupo zake kimya pale middle east. Marekani anafanya nini pale ghuba ya uajemi ? Ukitaka kujua nani mchokozi angalia nani yupo kwenye ardhi ya wenzake.
 
Ameshaforce tayari,tunasubiri tuone hicho cha mtema kuni.
Watu wanajua athari za vita hawataki kuingia hovyo... US China anamnyemelea... UK still ana struggle arudi nafasi yake sababu ya hiyohiyo vita.... Ila akiforce atakiona cha mtema makuni...

dodge
 
Iran wanamchokoza yupo zake kimya pale middle east. Marekani anafanya nini pale ghuba ya uajemi ? Ukitaka kujua nani mchokozi angalia nani yupo kwenye ardhi ya wenzake.
Huko ni kambi yake kabla hata Iran hajaanza kuota kumchallenge US.
 
Huko ni kambi yake kabla hata Iran hajaanza kuota kumchallenge US.
Unaanzia wapi kuweka kambi kwenye ardhi ya mataifa mengine?Hujiulizi this is not normal at all. Nammiss Saddam Hussein. Yaani ukikutana na wairaki wakianza kukusimulia maisha enzi za Saddam ni ilikuwa bomba,hao wamarekani walikuwa wanakwenda vacation Iraq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…