Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ugomvi baina ya US na kiduku,UK alihusika vipi...?Hahah ugomvi wa Mme lazima mke nae ahusike.
dodge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugomvi baina ya US na kiduku,UK alihusika vipi...?Hahah ugomvi wa Mme lazima mke nae ahusike.
dodge
Na mmarekani akiendelea kuandekeza hivi vita Mchina anachukua nafasi fasterDunia inabadilika mwaka 2003 China ilikuwa Nchi ya 7 kwa uchumi Imara lkn leo ni Nchi ya pili baada ya America.kwa hivyo watu waache kukariri eti Uingereza na America hawapigiki'wanapigika sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugomvi baina ya US na kiduku,UK alihusika vipi...?
Challenge kiakili!! Hii itaisha lini sasa... Kama ni kutumia akili unadhani vita baina ya US na Japan WWII ingecome to an end... Iran hasikii..,Iran ana kiburi..., anataka aonekane mwanaume kwenye hamna... Anachallenge wakubwa zake... Anataka ashindane na US,UK...Mmoja wapo hapo anatosha kumfutilia mbali..., akawe si kitu mbele ya uso wa dunia..
NakuulizaUnaniuliza au una-confirm?
dodge
Nakuuliza
tutacheza ata kuzimu ubingwa ni wetu tu kama mmepanga na Iran mvuruge matokeo tumewanyari Haahaaa haaaWatani zangu Liverpool mna mkosi ...
Uingereza anasogeza pua Vita na iran,.... Iran anaangusha Bomu pale London na EPL inasimamishwa huku Liverpool akilikosa Kombe kale ...
Ligi itarudiwa mwakani ...
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanajua athari za vita hawataki kuingia hovyo... US China anamnyemelea... UK still ana struggle arudi nafasi yake sababu ya hiyohiyo vita.... Ila akiforce atakiona cha mtema makuni...Maneno mengi ya nini,si mumfute kwny ulimwengu kama mna ubavu huo.
Endeleeni kulia lia tu huko twitter ila cha kumfanya Iran hamna.
dodge
Sorry, hivi Jamaica wazee wa msuba hua wana jeshi? Sijawahi kusikiaSasa Iran anaweza kumfanya nini Mama?
Atapigwa na watoto tu Canada, Australia, Jamaica na wengine watamfanya hamna
Iran wanamchokoza yupo zake kimya pale middle east. Marekani anafanya nini pale ghuba ya uajemi ? Ukitaka kujua nani mchokozi angalia nani yupo kwenye ardhi ya wenzake.Challenge kiakili!! Hii itaisha lini sasa... Kama ni kutumia akili unadhani vita baina ya US na Japan WWII ingecome to an end... Iran hasikii..,Iran ana kiburi..., anataka aonekane mwanaume kwenye hamna... Anachallenge wakubwa zake... Anataka ashindane na US,UK...Mmoja wapo hapo anatosha kumfutilia mbali..., akawe si kitu mbele ya uso wa dunia..
Watu wanajua athari za vita hawataki kuingia hovyo... US China anamnyemelea... UK still ana struggle arudi nafasi yake sababu ya hiyohiyo vita.... Ila akiforce atakiona cha mtema makuni...
Sasa hutaki kuonyesha alivyohusika umeng'ang'ana ni mkewe.... Potelea mbali..Alihusika vp?
Si ni mkewe huyo lazima awe nyuma ya bwana wake.
dodge
SawaAmeshaforce tayari,tunasubiri tuone hicho cha mtema kuni.
dodge
Huko ni kambi yake kabla hata Iran hajaanza kuota kumchallenge US.Iran wanamchokoza yupo zake kimya pale middle east. Marekani anafanya nini pale ghuba ya uajemi ? Ukitaka kujua nani mchokozi angalia nani yupo kwenye ardhi ya wenzake.
Sasa nikuonyeshe vipi kwamba ni mkewe?Sasa hutaki kuonyesha alivyohusika umeng'ang'ana ni mkewe.... Potelea mbali..
Unaanzia wapi kuweka kambi kwenye ardhi ya mataifa mengine?Hujiulizi this is not normal at all. Nammiss Saddam Hussein. Yaani ukikutana na wairaki wakianza kukusimulia maisha enzi za Saddam ni ilikuwa bomba,hao wamarekani walikuwa wanakwenda vacation Iraq.Huko ni kambi yake kabla hata Iran hajaanza kuota kumchallenge US.