Uingereza yalaani shambulio la Iran

Albert Einstein alijisemea kama ikitokea vita ya 3 hajui itapiganwa na nini,ila vita ya 4 ya dunia itapiganwa kwa fimbo na mawe. Unajua kwa nini?Kwa sababu techlogy imeendelea mno. Watu wana silaha za kuteketeza dunia nzima in minutes. Hivyo vita ya tatu itairudsha dunia tu zero.
 
Mkuu
Mkuu umeni impress Sana kwakweli nikuombe uanzishe Mada juu ya hii mioto ya nyika inaanzaje zamani nilijua ni wawindaji Sasa nikashangaa hata marekani na Australia ? Plz ukipata muda anzisha Uzi au la nikuulize wewe mwenyewe pm nahitaji Sana kujua.
 
Lakini mkuu hawa jamii za kiarabu wakiachiwa wajitengenezee ma nuclear kiholela..!Je unadhani dunia itakua sehem salama tena..Think weka hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kusoma ujumbe nyuma ya kauli ya muingereza,
Siyo wajinga km sisi hao kutangaza kambi yao kushambuliwa,
Mjinga anajichimbia kaburi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitatoa darasa mkuu
 
Hahah na ni huyu huyu mtawala wa dunia Tanker lake la mafuta lilikamatwa na Iran akalia lia weeee na hakurusha hata risasi 1 kwenda Iran.

dodge
Au sio
Toka WW2 iishe England alishashiriki vita gani?
Nguvu ya malkia we bado hujaijua nakwambia hujaijua tena yeye akisimama Tanzania yako lazima iingie vitani mtanyooka
 
Watafanya nini hao UK?Meli yao ya mafuta ilishikiliwa na Iran walibwabwaja mikwara kibao lakini hawakufua dafu walisalimu amri.
Cmp mbona unanidhalilisha yani wewe kabisa wa kuandika hivi?😝
.
Ningekuwa na muda ningekurudisha darasani tujifunze sababu za vita zote za nyuma kutokea baina ya taifa na taifa zilikuwa ni zipi.
.
Kwa kifupi sana kulikuwa na njia zaidi ya 100 za kutatua lile jambo mojawapo ni mdomo!
Vita ni njia mbadala ya mwisho kabisa baada ya zote kushindikana.
Sasa kwa dunia ya sasa zishindikane njia zote hizo hadi ifikie vita kweli kama wanapambana na kikundi cha watu wachache?
.
US anamtafutia angle Iran ajae vita yao iko karibu kabisa kaanza kumtafuta zamani mno, U.K ana mgogoro gani na Iran?
Sasa siku wakianza rasmi kuchapana usije hata siku moja kuuliza U.K anafanya nini kwenye hiyo vita mbona naye yumo?
Niishie hapa Cmp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…