Uingereza yalaani shambulio la Iran

Uingereza yalaani shambulio la Iran

Lazima awe macho... Alinde maslahi yake... Iran sio dagaa kama unavyosema.. Ana uwezo wa kumtingisha marekani mpaka asiamini... Ana nyuklia pia... Ndo maana hata US anajaribu kumdhoofisha kidogo kidogo kwa kuondoa wale vichwa kwanza... Wakiingia vitani Iran anaweza target miji muhimu hata mitatu New York, Los Angeles na DC ikianguka hiyo US basi tena..,Japo wakati huo tunaweza kuwa tunaiona Iran kwenye ramani tu...
Albert Einstein alijisemea kama ikitokea vita ya 3 hajui itapiganwa na nini,ila vita ya 4 ya dunia itapiganwa kwa fimbo na mawe. Unajua kwa nini?Kwa sababu techlogy imeendelea mno. Watu wana silaha za kuteketeza dunia nzima in minutes. Hivyo vita ya tatu itairudsha dunia tu zero.
 
Mkuu
We moto unaujua unausikia.
Moto uliouwa familia ya Stereo Singasinga nchi yako iliweza kuuzima?
.
Nitafute kwa muda wako nikupe elimu juu ya mioto ya kiangazi, mioto inayojitokeza sehemu kame na kwanini huwa ni ngumu kudhibitiwa na kipi kifanyike ili kama ikitokea iwe rahisi kuidhibiti.
.
Tukimaliza nakupeleka Serengeti mwezi may ukaone vyenye si hufanya
Mkuu umeni impress Sana kwakweli nikuombe uanzishe Mada juu ya hii mioto ya nyika inaanzaje zamani nilijua ni wawindaji Sasa nikashangaa hata marekani na Australia ? Plz ukipata muda anzisha Uzi au la nikuulize wewe mwenyewe pm nahitaji Sana kujua.
 
Iran ndo namuona superpower. Maana wanafanya kila njia kumuangusha. Biashara wamembania. Wanamsingizia anatengeneza silaha nzito za nuclear. Hao USA kwani wao hawatengenezi ?
My dear just imagine Iran bila vikwazo ilivyowekewa. Iran ni superpower. Bila kuibania Iran ingekuwa mbali mno. Wairani wana akili kama mchwa. Wale Persian achana nao kabisa.
Lakini mkuu hawa jamii za kiarabu wakiachiwa wajitengenezee ma nuclear kiholela..!Je unadhani dunia itakua sehem salama tena..Think weka hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kusoma ujumbe nyuma ya kauli ya muingereza,
Siyo wajinga km sisi hao kutangaza kambi yao kushambuliwa,
Mjinga anajichimbia kaburi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Mkuu umeni impress Sana kwakweli nikuombe uanzishe Mada juu ya hii mioto ya nyika inaanzaje zamani nilijua ni wawindaji Sasa nikashangaa hata marekani na Australia ? Plz ukipata muda anzisha Uzi au la nikuulize wewe mwenyewe pm nahitaji Sana kujua.
Nitatoa darasa mkuu
 
Hahah na ni huyu huyu mtawala wa dunia Tanker lake la mafuta lilikamatwa na Iran akalia lia weeee na hakurusha hata risasi 1 kwenda Iran.

dodge
Au sio
Toka WW2 iishe England alishashiriki vita gani?
Nguvu ya malkia we bado hujaijua nakwambia hujaijua tena yeye akisimama Tanzania yako lazima iingie vitani mtanyooka
 
Watafanya nini hao UK?Meli yao ya mafuta ilishikiliwa na Iran walibwabwaja mikwara kibao lakini hawakufua dafu walisalimu amri.
Cmp mbona unanidhalilisha yani wewe kabisa wa kuandika hivi?😝
.
Ningekuwa na muda ningekurudisha darasani tujifunze sababu za vita zote za nyuma kutokea baina ya taifa na taifa zilikuwa ni zipi.
.
Kwa kifupi sana kulikuwa na njia zaidi ya 100 za kutatua lile jambo mojawapo ni mdomo!
Vita ni njia mbadala ya mwisho kabisa baada ya zote kushindikana.
Sasa kwa dunia ya sasa zishindikane njia zote hizo hadi ifikie vita kweli kama wanapambana na kikundi cha watu wachache?
.
US anamtafutia angle Iran ajae vita yao iko karibu kabisa kaanza kumtafuta zamani mno, U.K ana mgogoro gani na Iran?
Sasa siku wakianza rasmi kuchapana usije hata siku moja kuuliza U.K anafanya nini kwenye hiyo vita mbona naye yumo?
Niishie hapa Cmp
 
Back
Top Bottom