Uingereza yalaani shambulio la Iran

Uingereza yalaani shambulio la Iran

UK ndo wanaskitisha Sana meli yao ilikamatwa kibabe Sana na waajemi wakabaki wanalia tu. Mwisho wakasalimu amri wakaiachia meli ya waajemi grace 1 tena Iran alivokua haogopi aliipeleka Ile meli hadi syria na akauza mafuta, asee,
Nchi zote zingekua jasiri kama Iran ☫ [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] duniani tungekua tunaheshimiana Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Iran Kakamatiwa meli zake ngapi
 
Ndo ufuatilie kwa nn waliwekewa vikwazo hapo utapata jibu la swali lako
Mimi Nimekuuliza wewe ambaye tayari ulifatilia hilo. Kukuuliza wewe ambae unajua pia ni sawa na kufuatilia kwangu mie.

Niambie basi....
 
Mimi nataka kujua sababu ya kwanini wameekewa vikwazo ila USA na wenzake hawajaekewa vikwazo?

USA ameua wengi kupitia mabomu ya nuclear alotupa Japan. Mpaka sasa anamiliki mengine mengi tu. Inakuaje aliekuwa hajawahi kumiliki anaekewa vikwazo ila yule ambae amemiliki na kuuwa hajaekewa vikwazo.
Why did Iran withdraw from nuclear deal...?
 
Why did Iran withdraw from nuclear deal...?
Nijibu basi mie kwanza halafu nije kwenye swali lako. Huenda pia sihitaji kujibu mana sijui, wewe ndio ukanambia kwanini amejitoa kwenye hio deal, na kwanini alikuwa kwenye hio deal hapo mwanzo kabla hajajitoa
 
Kwa hayo maelezo yako inaonekana unataka mwanzo wa picha hadi mwisho.... Ungesoma hiyo article niliyokupa, maswali yako karibia yote yamejibiwa mule....
 
Kwa hayo maelezo yako inaonekana unataka mwanzo wa picha hadi mwisho.... Ungesoma hiyo article niliyokupa, maswali yako karibia yote yamejibiwa mule....
Nimeisoma kidogo hio article. Sasa kabla sijaendelea ni vyema baadhi vitu vikaekwa sawa ili iwe rahisi kwangu. Mfano kama swali nlokuuliza ambalo hadi sasa hujajibu. Nitaliweka tena hapa.

Mimi napenda kujua mtazamo wako kwa sababu wewe ni Anti Iran. Meaning that unasapoti Iran kuekewa vikwazo. So nilitaka kujua Logic yako.

Iran hajawahi kumiliki Nuclear weapons, kwanini mataifa yanamuekea vikwazo kwa sababu anataka kumiliki nuclear, wakati kuna mataifa yanamiliki nuclear na kuna moja limeua kwa kutumia nuclear halijawekewa vikwazo na linaendelea kumiliki hizo silaha?
 
Back
Top Bottom