Please define 'gaidi',
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please define 'gaidi',
Ubavu huo hawana.
Wamekufa wangapi
Kwan Iran Kakamatiwa meli zake ngapiUK ndo wanaskitisha Sana meli yao ilikamatwa kibabe Sana na waajemi wakabaki wanalia tu. Mwisho wakasalimu amri wakaiachia meli ya waajemi grace 1 tena Iran alivokua haogopi aliipeleka Ile meli hadi syria na akauza mafuta, asee,
Nchi zote zingekua jasiri kama Iran ☫ [emoji1130] [emoji1130] [emoji1130] duniani tungekua tunaheshimiana Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini waliwekewa vikwazo wao tu. By the way, hukujibu nilichouliza, Alikosea nini?Kwa nn Iran na Zimbabwe wawekewe vikwazo na si bongo
Ndo ufuatilie kwa nn waliwekewa vikwazo hapo utapata jibu la swali lakoSijui kwanini waliwekewa vikwazo wao tu. By the way, hukujibu nilichouliza, Alikosea nini?
Mimi Nimekuuliza wewe ambaye tayari ulifatilia hilo. Kukuuliza wewe ambae unajua pia ni sawa na kufuatilia kwangu mie.Ndo ufuatilie kwa nn waliwekewa vikwazo hapo utapata jibu la swali lako
Mimi Nimekuuliza wewe ambaye tayari ulifatilia hilo. Kukuuliza wewe ambae unajua pia ni sawa na kufuatilia kwangu mie.
Niambie basi....
Mimi nataka kujua sababu ya kwanini wameekewa vikwazo ila USA na wenzake hawajaekewa vikwazo?International sanctions against Iran - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Sent using Jamii Forums mobile app
Why did Iran withdraw from nuclear deal...?Mimi nataka kujua sababu ya kwanini wameekewa vikwazo ila USA na wenzake hawajaekewa vikwazo?
USA ameua wengi kupitia mabomu ya nuclear alotupa Japan. Mpaka sasa anamiliki mengine mengi tu. Inakuaje aliekuwa hajawahi kumiliki anaekewa vikwazo ila yule ambae amemiliki na kuuwa hajaekewa vikwazo.
Nijibu basi mie kwanza halafu nije kwenye swali lako. Huenda pia sihitaji kujibu mana sijui, wewe ndio ukanambia kwanini amejitoa kwenye hio deal, na kwanini alikuwa kwenye hio deal hapo mwanzo kabla hajajitoaWhy did Iran withdraw from nuclear deal...?
Kwa hayo maelezo yako inaonekana unataka mwanzo wa picha hadi mwisho.... Ungesoma hiyo article niliyokupa, maswali yako karibia yote yamejibiwa mule....Nijibu basi mie kwanza halafu nije kwenye swali lako. Huenda pia sihitaji kujibu mana sijui, wewe ndio ukanambia kwanini amejitoa kwenye hio deal, na kwanini alikuwa kwenye hio deal hapo mwanzo kabla hajajitoa
Nimeisoma kidogo hio article. Sasa kabla sijaendelea ni vyema baadhi vitu vikaekwa sawa ili iwe rahisi kwangu. Mfano kama swali nlokuuliza ambalo hadi sasa hujajibu. Nitaliweka tena hapa.Kwa hayo maelezo yako inaonekana unataka mwanzo wa picha hadi mwisho.... Ungesoma hiyo article niliyokupa, maswali yako karibia yote yamejibiwa mule....
Why did Iran withdraw from nuclear deal...?