Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.

2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.

3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:

IMG_20240417_122528~2.jpg

4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:

IMG_20240417_122704~2.jpg

5. Kwa mwendo huu tutegemee calibration moja baada ya nyingine hadi yenye madhara itakapojiri.

6. Yetu macho, ngoja tuone
 
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.

2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.

3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:

View attachment 2966277

4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:

View attachment 2966279

5. Kwa mwendo huu tutegemee calibration moja baada ya nyingine hadi yenye madhara itakapojiri.

6. Yetu macho, ngoja tuone
Iran wanapiga mazoezi makali mno mazayuni wakijaribu kurudisha watafutwa dunian
1000005087.jpg

1000005087.jpg
 
Mataifa ni kama watoto wadogo. Bila kusahau Natenyahu ndiyo bure kabisa!
Yule ndio kiboko ya warabu,na uzuri wa sera yao!!hata kama yule mama wa akili kisoda awe rais wao bado atawapelekea moto tu !!
 
Wenzenu huko Israel wanapanga na wanatekeleza walichopanga siyo kurusha makombora hewani kama exhibition au ceremonial festivals. Yetu macho na masikio tusubiri ni suala la muda tu.

Kwani Kuna mwenye wenzake huko? Au kuna anayepanga bila utekekelezaji? Kama kuna asiyetekeleza kumbe malipo ni kuhusu nini?
 
Yule ndio kiboko ya warabu,na uzuri wa sera yao!!hata kama yule mama wa akili kisoda awe rais wao bado atawapelekea moto tu !!

Ngoja tuone walisema he who laughs best laughs last
 
Nijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!

Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe

Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa
 
Taabu ya vita huwa Kila mtu anadhani Mungu Yehova wao yuko nyuma yao. Hayupo mwenye kuamini kwenye kushindwa. Hapo ndipo kinapokolea.
 
Back
Top Bottom