Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Wazayuni walikaa wiki mbili wakimzomea muajemi ikiwa atafanya lolote, muajemi akiwa kwenye vikao vingi kujiridhisha ikiwa anao huo uwezo wa kumpiga myahudi, hatimaye alituma hicho alichokituma kwa myahudi, hata hivyo wachambuzi wa mambo wamehitimisha kusema, kilichofyatuliwa hakikufanya lolote Israel na ndiyo maana Myahudi anaweza kupuuza ama laZingatia kipigo kile ilikuwa mvua ya masaa 5 mfululizo. Wadhani hiyo ndugu alikuwa ofisini au kitandani mida hiyo?
Hata hivyo, myahudi ni mgomvi na hatakagi kushindwa, kunakinachowekwa sawa, sijui Teheran atamudu kuzuia kitakachotumwa hapo
Yetu macho