Wewe Vita vyapanzi furaha kwa kunguru wacha[emoji41][emoji41].Hii vita sio ya kuomba itokee
Hii vita sio ya kuomba itokee
Sawa STRUGGLE MANKati ya vitu ambavyo israel itajishauri sana kabla ya kufanya ni hii ya kujibu mapigo kwa Iran, wakibugi tuu inakula kwao.
Africa ilishazoea shidaAfrica tutapata shida Sana
Iran wanapiga mazoezi makali mno mazayuni wakijaribu kurudisha watafutwa dunian1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.
2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.
3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:
View attachment 2966277
4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:
View attachment 2966279
5. Kwa mwendo huu tutegemee calibration moja baada ya nyingine hadi yenye madhara itakapojiri.
6. Yetu macho, ngoja tuone
Yule ndio kiboko ya warabu,na uzuri wa sera yao!!hata kama yule mama wa akili kisoda awe rais wao bado atawapelekea moto tu !!Mataifa ni kama watoto wadogo. Bila kusahau Natenyahu ndiyo bure kabisa!
Kati ya vitu ambavyo israel itajishauri sana kabla ya kufanya ni hii ya kujibu mapigo kwa Iran, wakibugi tuu inakula kwao.
Wenzenu huko Israel wanapanga na wanatekeleza walichopanga siyo kurusha makombora hewani kama exhibition au ceremonial festivals. Yetu macho na masikio tusubiri ni suala la muda tu.
Yule ndio kiboko ya warabu,na uzuri wa sera yao!!hata kama yule mama wa akili kisoda awe rais wao bado atawapelekea moto tu !!
Iran wanapiga mazoezi makali mno mazayuni wakijaribu kurudisha watafutwa dunian View attachment 2966288
View attachment 2966288
Huyo hapo ndo nani mkuu?
Huyo hapo ndo nani mkuu?
Nijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!
Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe
Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa