Wazayuni walikaa wiki mbili wakimzomea muajemi ikiwa atafanya lolote, muajemi akiwa kwenye vikao vingi kujiridhisha ikiwa anao huo uwezo wa kumpiga myahudi, hatimaye alituma hicho alichokituma kwa myahudi, hata hivyo wachambuzi wa mambo wamehitimisha kusema, kilichofyatuliwa hakikufanya lolote Israel na ndiyo maana Myahudi anaweza kupuuza ama laZingatia kipigo kile ilikuwa mvua ya masaa 5 mfululizo. Wadhani hiyo ndugu alikuwa ofisini au kitandani mida hiyo?
SanaAfrica tutapata shida Sana
Wazayuni walikaa wiki mbili wakimzomea muajemi ikiwa atafanya lolote, muajemi akiwa kwenye vikao vingi kujiridhisha ikiwa anao huo uwezo wa kumpiga myahudi, hatimaye alituma hicho alichokituma kwa myahudi, hata hivyo wachambuzi wa mambo wamehitimisha kusema, kilichofyatuliwa hakikufanya lolote Israel na ndiyo maana Myahudi anaweza kupuuza ama la
Hata hivyo, myahudi ni mgomvi na hatakagi kushindwa, kunakinachowekwa sawa, sijui Teheran atamudu kuzuia kitakachotumwa hapo
Yetu macho
Hii Israel????anajua kupiga
Katika historia yao suleiman tu ndo hakua na kashi-kashi na aliahidiwa na MunguNijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!
Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe
Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa
Pale redsea mpaka Leo amefanya Nini mbele ya Waouth?kawangiza UK na us matatizoni mpaka Leo hakuna walichoweza.70% ya nishati Duniani inapitia strait of Hormuz ambapo Iran yaweza kuifunga,jakamoyo walilonalo la nishati ya Urusi,,waongeze lingine?Hata hivyo, myahudi ni mgomvi na hatakagi kushindwa,
Kama sio u.k leo hii israel isingekuwepo soma historia vizuri wale ni kama wadhamini kwa muisraeli hawawezi muacha sababu ndo waliotengeneza taifa la israelPale redsea mpaka Leo amefanya Nini mbele ya Waouth?kawangiza UK na us matatizoni mpaka Leo hakuna walichoweza.70% ya nishati Duniani inapitia strait of Hormuz ambapo Iran yaweza kuifunga,jakamoyo walilonalo la nishati ya Urusi,,waongeze lingine?View attachment 2966367
Kwanini yatue mitaani wakati ya iran yalitua kwenye makambi ya kijeshioct 7, hamas wangeachwa ingekua maneno wametandikwa barabara imekua maneno iran wakiachwa maneno wakibondwa italeta maneno pia kumbuka israel wana iron dom wana bomb shelters kilq kona iran hana hio makitu sana sana atatumia tu human shield ili atie huruma so makombora yakitua mitaani wanokufa ni watoto wazee
Unamaanisha vile vita vya kufikirika vya kwenye upuuzi wa biblia iliyotungwa na mfalme James wa england?....Nijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!
Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe
Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa
makombora 300 yametua kwenye kambi za kijeshi sindio?Kwanini yatue mitaani wakati ya iran yalitua kwenye makambi ya kijeshi
Lol hii kaliIran wanapiga mazoezi makali mno mazayuni wakijaribu kurudisha watafutwa dunian View attachment 2966288
View attachment 2966288
Hapo mashariki ya kati Israel hajawahi kushindwa vita, kila baada ya muda hayo mataifa huwa yanataka yaipige Israel yaiondoe lakini yanaishia kupewa kipigo.Kati ya vitu ambavyo israel itajishauri sana kabla ya kufanya ni hii ya kujibu mapigo kwa Iran, wakibugi tuu inakula kwao.
makombora 300 yametua kwenye kambi za kijeshi sindio?
Hapo mashariki ya kati Israel hajawahi kushindwa vita, kila baada ya muda hayo mataifa huwa yanataka yaipige Israel yaiondoe lakini yanaishia kupewa kipigo.
Huyu kamanda kaliaibisha jeshi.Iran wanapiga mazoezi makali mno mazayuni wakijaribu kurudisha watafutwa dunian View attachment 2966288
View attachment 2966288
Acheni kudanganywa na kujidanganya.hipasonic imepiga vema.Wazayuni walikaa wiki mbili wakimzomea muajemi ikiwa atafanya lolote, muajemi akiwa kwenye vikao vingi kujiridhisha ikiwa anao huo uwezo wa kumpiga myahudi, hatimaye alituma hicho alichokituma kwa myahudi, hata hivyo wachambuzi wa mambo wamehitimisha kusema, kilichofyatuliwa hakikufanya lolote Israel na ndiyo maana Myahudi anaweza kupuuza ama la
Hata hivyo, myahudi ni mgomvi na hatakagi kushindwa, kunakinachowekwa sawa, sijui Teheran atamudu kuzuia kitakachotumwa hapo
Yetu macho
Unaijua Bavar 373. Khordad-3, Khordad-15. Russian's s-300. Unadhani taifa kubwa kama lile linakosa Air Defence systems? 😂 We utakuwa unaangalia sana movie za wazungu.oct 7, hamas wangeachwa ingekua maneno wametandikwa barabara imekua maneno iran wakiachwa maneno wakibondwa italeta maneno pia kumbuka israel wana iron dom wana bomb shelters kilq kona iran hana hio makitu sana sana atatumia tu human shield ili atie huruma so makombora yakitua mitaani wanokufa ni watoto wazee
Mie naamini wakipigana Iran atashindwa, Israel ana back up ya maana zaidi.
Sasa Iran anasaidiwa vita na choka mbaya Lebanon, Syria na Yemen atatoboa kweli??.
We angalia hata juzi karusha madude kibao yametunguliwa karibu yote, ye akirushiwa kiasi kile itakuwaje?!.