Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

Eti atashindwa πŸ˜ƒ. Kuhusu backup Iran ana backup ya Russia na China.
 
Hapo mashariki ya kati Israel hajawahi kushindwa vita, kila baada ya muda hayo mataifa huwa yanataka yaipige Israel yaiondoe lakini yanaishia kupewa kipigo.
Umesoma historia wapi?. Hapo mzayuni anachomoka kama alivyochomoka mara zote kwenye historia. Ni suala la muda tu historia itajirudia tena. Na Iran kashaapa kumchomoa hapo na atafanya hivo
 
Israel akipiga kombora lolote Iran kitakachotokea ni Vita kamili. Maana Israel hana sababu yeyoye ya msingi kupiga makombora Iran.

Iran iĺifanya hiyo kama kulipiza shambulio dhidi yake(ubalozi ni nchi) na ilifanya malipizi kupitia artìcle 51 ya UN Charter.

Sasa Israel inatumia vigezo gani kupiga makombora Ian?. Shambulio lolote kutoka Israel itakuwa vita rasmi kwa Iran kuvamiwa na Israel. Tayari Escalation.....
 

Iran alilipiza kisasi. Israel ni mchokozi.
 
Hawa jamaa wakianza kunyukana tu, CCM wataanza kupata vitu vya kujitetea kwenye kampeni za 2025...

Wazee wa kutembelea nyota ya vita vya wazungu...
 
Hawa jamaa wakianza kunyukana tu, CCM wataanza kupata vitu vya kujiteta kwenye kampeni za 2025...

Wazee wa kutembelea nyota ya vita vya wazungu...

Hapo mama itabidi ashukuriwe
 
Mungu jehova yupi aliyeko nyuma yao tuweke sawa kidogo mana kama huyu jehova ninaemjua mimi(yesu) umetupiga kamba mchana kweupe,, kwani wao wenyewe last born wa mungu (Israel) ndio waliomshushia kisago na kumtundika pale msalabani na hawataki hata kumsikia,, kwa hiyo tuweke sawa, mungu jehova yupi huyo anamzungumzia hapa ambao waisrael wanamtegemea
 
Mungu sio kama wewe usiyesamehe wanaokukosea
 
YEHOVAH aliyewatoa Misiri katika Utumwa
Kutoka 6:6
"Basi waambie wana wa Israeli, Mimi ni YEHOVA, nami nitawatoa ninyi mtoke chini ya mizigo ya Wamisri, nami nitawaokoa na utumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyoshwa, na kwa hukumu kubwa;"

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Awe kawakomboa kutoka misri awe kawakomboa kutoka buza kikubwa asiwe yesu tu,, kwa maana walokole wengi hasa wale wanaosali kwenye makanisa ya mabati yaliyotapakaa huku uswahilini wanaamini mungu yesu ndo huyo aliewakoa hao waisrael kule misri na hao waisrael wanamuamini huyo mungu yesu kitu ambacho ni chai tena ya mchana, kwa kuwa sote tunafamu waisrael hawamkubali mungu yesu tena wanamuona mtoto wa haram na kosa kuhubiri injili ya mungu yesu kule Israel na sheria wameipitisha kabisa.
 

Hili ni habari mbaya sana kwa akina MK254 wenye kuamini waisiraeli ni wakristo.
 
hizo stori za Kilokole zinawadanganya sana US kashasema hatatoa msaada anawaacha Wazayuni wajinyee peke yao. Nawakumbusha Mwarabu ana roho mbaya walokole msije kulia lia humu
 
Tayari Israel kajibu mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…