Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Watanzania mkiwa nafkira kwamba mapambano ya demokurasia nchini yatafanywa na nchi za Ulaya na Marikani naona kama hiyo ni dhana potofu......kabla ya uingereza kusikitika nyie mmefanya nini kupambana na hiyo hali?
Mara nyingi napata wasiwasi sana kama kweli watanganyika walidai uhuru au ulitokea circumstantially tu.
 
Mkuu boycott haifanyi kazi Africa hawana aibu kabisa, hapo utakua ndoumemsaidia kabisa
Amini usiamini ni moja kati ya silaha mbaya inayowakata maini. Kwa mfano kesi za kushikiwa mali kule south ndege yetu iliachiwa kwa sababu ya good diplomacy na tz.
Kama tungekuwa na diplomacy mbaya hata wasingejishughulisha.

Kama pia wasinge jua thamani ya diplomacy wasingebadilisha minister for foreign affairs baada ya kuona wakwanza anashindwa kuunda uhusiano mzuri.
Tunahitaji demokrasia na mahusiano mazuri na nchi nyingine ili;
1. Tupate masoko ya bidhaa zetu
2. Tupate watalii
3. Misaada na mikopo nafuu
4. Wawekezaji nk

Hiyo ni credit
 
People take those matters to court walishinda kesi ya malalamiko ina maana mahakama za nchi zinatoa haki, wakashindwa kwenye rufaa.

Kama waliamini msimamo wao ni sahihi kwanini wasingekata rufaa mpaka mahakama za juu zaidi hadi kufikia ngazi EA?

Ni hivi hawa watu ni wapenda kumbelezwa au kutafuta public and international sympathy tu; but not fighting soldiers ready to protect their rights.
Upinzani Wana attention kubwa zaidi kwa Sasa, usidhani hata ccm wanayofuraha kwa ushindi wao.
Dont be hard to understand
 
Back
Top Bottom