Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Ni taratibu zao walizokubaliana kwenye demokrasia ya mataifa hayo. We unadhani wanatumia katiba za kikoloni?
 
Wenyewe hawajielewi na wanahali mbaya. Waache unafiki na kujikuna ambako hawawashwi.
God bless Tanzania!
Sio kwamba huna akiri sema zimesimama. Ujinga ulofanywa na Magufuli ni wakiwango cha wapumbavu. Yahani unaita watendaji unawatisha unawazuia wasipokee form za vyama kinzani afu unapongeza upumbavu huu, muda ni mwalimu na wakati ni ukuta.
Kufa atakufa Tanzania itabaki na wapinzani wanazaliwa kila iitwayo leo.
 
Hakuna usawa kwenye uwanja wa siasa inapokuja kwenye uhalisia, halafu eti unasema “wanataka wabembelezwe”, is this a rational thinking?

Otherwise unatizama kwa macho ya kishabiki.
Hakuna usawa embu taja nchi unayoijua ina usawa kwenye siasa za ushindani duniani?

Ata US kama huna rich backers kwenye campaign and media backup your good as dead in the election.

Ukienda nchi kama India BHJ and Congress kwa uwezo wao wa kifedha ikifika kipindi cha campaign vyama vidogo vikienda remote areas wanakuta washakodi chopper zote ata kama awazitumii wagombea wa vyama vidogo wasifike vijijini.

Hakuna nchi ambayo siasa zina usawa, kwa mtu asiweza fitna siasa sio uwanja wake.

CDM na upinzani kwa ujumla ni wachanga kuchukua nchi kama Tanzania inataka kuwa long term goals na short goals.

Short terms goal ni kutaka kuona wananchi wanazoea kuona viongozi wa vyama vingine wakitatua matatizo yao ya kila siku huko mtaani na kuwatengeneza kisaikolojia mazoea ya watu wengine zaidi ya CCM kama viongozi.

Mtu kama Mbowe na selfish motives zake hajui hayo umuhimu wake tactically unasusa kwa faida ya nani; changamoto zipo kwa upinzani ila nao mbinu hawana muhimu kwenye siasa ni kuaminika na wananchi sio watu wachache wanaolamba miguu na wanaosifia hata maamuzi mabovu ya mwenyekiti.

Chunga kauli zako CCM ilivyo kwa tabia mwakani itarudia kuwaengua tena wanasiasa wa upinzani kwa hila tu kuonyesha hao watu wapo kimaslahi yao sio ya nchi maana na wanajua watapambana tu majina yao kurudishwa na hawatasusia uchaguzi; I can bet on that.
 
Katiba ya Tanzania inaruhusu uchafu huu ?
View attachment 1275132
Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.
 
Watanzania mkiwa nafkira kwamba mapambano ya demokurasia nchini yatafanywa na nchi za Ulaya na Marikani naona kama hiyo ni dhana potofu......kabla ya uingereza kusikitika nyie mmefanya nini kupambana na hiyo hali?
Nadhani boycot yao ni moja kati ya strategy nzuri kwa sasa.
Bado serikali yetu inategemea mahusiano mazuri na nchi za nje hii inawaondolea credit na inawauma kweli kweli
 
Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.
Katiba ya Tanzania siyo nepi ambayo kila mtoto anaruhusiwa kukojolea , badala ya kutunga uongo wa kuhusisha USA na UK mnatakiwa kuheshimu Katiba ya Nchi , Wanafiki wakubwa nyie !!
 
balozi wa Uingeleza haitwi kienyeji enyeji kama unavyofikiri - hapo Wizara lazima itoe maelezo ya kina. ...hivi ndiyo viashiria kuelekea 2020
Kuwa independent includes being able to solve ur own issues, Kama kuna mtu anahisi shida zake hawezi kuzitatua mwenyewe basi bado ukoloni unamuandama.
Kama unavyokuandama wewe
 
Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Hapo unalinganisha kichuguu na mlima
 
Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.
Mjinga utamjua tu,ya humu ndani huyajui,utayajuaje ya nchi za wenzetu?
 
Wapumbavu hawa Uingereza kabla hawajashangaa kwetu wakashangae kwanza Boris anaeitisha uchaguzi ili tu apate wabunge wa kumback kwenye BREXIT.
Nchi yao hata haina katiba,Waziri mkuu anaitisha uchaguzi akijisikia cha muhimu apate rukhsa kutoka kwa Malikia.
Nchi Malikia familia moja inaongoza nchi kizazi mpaka kizazi. Nothing to learn from the UK's katika suala la demokrasia.
 
Wengine utafuta wanasheria makini na kuonyesha were the ‘conflict of interest lies’ mahakamani na kupinga kama issue ni usimamizi.

Swala la wagombea serikari ilikubali makosa na kurudisha wote walioenguliwa, nini zaidi ulitaka wafanye?
Ni upumbavu kusababisha matatizo kwa mambo yasiyohitaji mizaha.
Hapakuwa na nia njema, malalamiko yamekuwapo tangu wizara kupewa mamlaka ya uchaguzi
 
People take those matters to court walishinda kesi ya malalamiko ina maana mahakama za nchi zinatoa haki, wakashindwa kwenye rufaa.

Kama waliamini msimamo wao ni sahihi kwanini wasingekata rufaa mpaka mahakama za juu zaidi hadi kufikia ngazi EA?

Ni hivi hawa watu ni wapenda kumbelezwa au kutafuta public and international sympathy tu; but not fighting soldiers ready to protect their rights.
 
Huyu mtu mkatieni mikopo na misaada atanyooka ingawa sisi ndio tutaumia zaidi.
Unajua kule ng'ambo ya Atlantic ni kwa vile mwenye kigoda naye yuko kikaangoni vinginevyo angesha ijambisha hii Gangster admin kwa uhuni wao.
 
Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Nadhani ni vyema umlaumu Nyerere kwa kuziondoa tawala za machief sio wao.
Wao walizikuta wakaziacha
 
Hakuna usawa embu taja nchi unayoijua ina usawa kwenye siasa za ushindani duniani?

Ata US kama huna rich backers kwenye campaign and media backup your good as dead in the election.

Ukienda nchi kama India BHJ and Congress kwa uwezo wao wa kifedha ikifika kipindi cha campaign vyama vidogo vikienda remote areas wanakuta washakodi chopper zote ata kama awazitumii wagombea wa vyama vidogo wasifike vijijini.

Hakuna nchi ambayo siasa zina usawa, kwa mtu asiweza fitna siasa sio uwanja wake.

CDM na upinzani kwa ujumla ni wachanga kuchukua nchi kama Tanzania inataka kuwa long term goals na short goals.

Short terms goal ni kutaka kuona wananchi wanazoea kuona viongozi wa vyama vingine wakitatua matatizo yao ya kila siku huko mtaani na kuwatengeneza kisaikolojia mazoea ya watu wengine zaidi ya CCM kama viongozi.

Mtu kama Mbowe na selfish motives zake hajui hayo umuhimu wake tactically unasusa kwa faida ya nani; changamoto zipo kwa upinzani ila nao mbinu hawana muhimu kwenye siasa ni kuaminika na wananchi sio watu wachache wanaolamba miguu na wanaosifia hata maamuzi mabovu ya mwenyekiti.

Chunga kauli zako CCM ilivyo kwa tabia mwakani itarudia kuwaengua tena wanasiasa wa upinzani kwa hila tu kuonyesha hao watu wapo kimaslahi yao sio ya nchi maana na wanajua watapambana tu majina yao kurudishwa na hawatasusia uchaguzi; I can bet on that.
You will never win people of this era.
You have a chance to win there in your mama villa
 
People take those matters to court walishinda kesi ya malalamiko ina maana mahakama za nchi zinatoa haki, wakashindwa kwenye rufaa.

Kama waliamini msimamo wao ni sahihi kwanini wasingekata rufaa mpaka mahakama za juu zaidi hadi kufikia ngazi EA?

Ni hivi hawa watu ni wapenda kumbelezwa au kutafuta public and international sympathy tu; but not fighting soldiers ready to protect their rights.
Intended agenda ili wasishiriki kampeni wapoteze muda mahakamani?.

Hii inaonesha namna ambavyo chombo cha uchaguzi kilichoteuliwa kilivyokua na nia ovu.
Hasa nia ya kuwasumbua upinzani.

Bado wako na approuch nzuri, hakika imewaingia
 
Katiba ya Tanzania siyo nepi ambayo kila mtoto anaruhusiwa kukojolea , badala ya kutunga uongo wa kuhusisha USA na UK mnatakiwa kuheshimu Katiba ya Nchi , Wanafiki wakubwa nyie !!

Sasa hujaonesha unafiki wangu hapo ni upi?
 
Hivi Tanzania inaweza kuwashauru hawa jamaa kuhusu hiyo brexit yao tukawaingilia kama wanavyoongea kwenye mambo yetu?
 
Back
Top Bottom