Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Wao ni nani kivipi? Kila mtu na nchi yake.
Kama asilimia kubwa ya Watanzania wameridhika wao ndo waje kutudanganya tuna shida?
Wajishughulikie kwanza huko wasiwashwe na yasiyowahusu.
Uko kidato cha pili nini?hongera,bado miaka miwili uhitimu elimu ya sekondari.👏🏻
 
Mwenzio Qadafi alijificha kwenye pango kama Panya,
Wakijalianzisha hapa usije kulia lia
Likitokea au wakionyesha kwa vitendo masikitiko yao hapo sawa lakini sio kutoa matamko alafu siku mbili mbele wanaleta hela tena za msaada au wanatoa tena tamko la kusifu
 
View attachment 1274916

Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.

My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
We do not have free and fair elections leave us alone until we have a new constitution of Tanzania
 
Watanzania mkiwa nafkira kwamba mapambano ya demokurasia nchini yatafanywa na nchi za Ulaya na Marikani naona kama hiyo ni dhana potofu......kabla ya uingereza kusikitika nyie mmefanya nini kupambana na hiyo hali?
Wengi wanasahau kwamba Tanzania ni nchi independent na ni nchi ya watanzania. Hakuna mtu yeyote duniani mwenye nia njema na Tanzania zaidi ya watanzania wenyewe.
 
Nchi yangu isidharau haya matamko ya hawa watu wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020. Hawa watu huenda kuna kitu, wanatuandaa kisaikolojia. Siamini tu kwamba wanaongea hivyo alafu wanaishia hapo, anyway muda ni mwalimu mzuri
Hawa watu - mabalozi - hawatoi matamko bila baraka za serekali zao.
 
Wengi wanasahau kwamba Tanzania ni nchi independent na ni nchi ya watanzania. Hakuna mtu yeyote duniani mwenye nia njema na Tanzania zaidi ya watanzania wenyewe.
Uhuru wenyewe ndio huu ?
2202094_Screenshot_2019-11-03-12-57-23.png
 
Sisi hatutaki wasikitike watoe vikwazo vya kusafiri kwa wahusika
 
View attachment 1274916

Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.

My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
 
Hawa dawa yao ni kuwakatia uhusiano wa kibalozi ndio watapata akili.
 
Wataishia kusikitika la kufanya hakuna juzi marekani leo uingereza kesho canada au pakistani
Uzuri ni kwamba hutoisikia hata nchi moja ya kiafrica imefungua mdomo.

Wazungu wana jicho la negative sana wakati sie tuna enjoy tu.
 
Why?

Life is not plain sailing for everyone others encounter rough seas; you either deal with the weather or prepare to be battered by the angry sea.

Hizi tabia za kuwadekeza upinzani na kuwa support ata kwenye maamuzi yao ya kijinga amuwajengi bali kuwafundisha tabia za uzembe; na mwishowe kupotezwa kabisa.
Hakuna usawa kwenye uwanja wa siasa inapokuja kwenye uhalisia, halafu eti unasema “wanataka wabembelezwe”, is this a rational thinking?

Otherwise unatizama kwa macho ya kishabiki.
 
Nchi yangu isidharau haya matamko ya hawa watu wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020. Hawa watu huenda kuna kitu, wanatuandaa kisaikolojia. Siamini tu kwamba wanaongea hivyo alafu wanaishia hapo, anyway muda ni mwalimu mzuri

Who cares, they should go to hell.
 
Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Katiba ya Tanzania inaruhusu uchafu huu ?
FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Back
Top Bottom