jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Ni taratibu zao walizokubaliana kwenye demokrasia ya mataifa hayo. We unadhani wanatumia katiba za kikoloni?Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!