Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria.

Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka shida Hitler kisha tukawashinda waarabu 1948 waliokuwa wanataka kutumaliza ha tuku Ishila hapo 1967 wakataka tena pia tukawashinda kwa kuishindo, Baada ya Oct 07,2023 nchi yetu iliweza kupigana na Hamas,Hezbollah,Houth waasi waliokuwa Syria,Iraq magaidi wa West-Bank na Baba wa Magaidi wote Iran wote hawakutuweza tułowia haka za vibaya sana. Leo hii wewe Keir Starmer."Waziri mkuu wa Uingereza utashindwa asubuhi tu!!!!
Njoo u somę na hapa RD07 mbwa wewe!!
 
Attachments

  • IMG_3223.jpeg
    IMG_3223.jpeg
    1 MB · Views: 40
  • IMG_3224.jpeg
    IMG_3224.jpeg
    744.7 KB · Views: 37
Huyo Ben Gvir alitakiwa awe PM Kuna watu wangonyooka.
Aaah!!!!
Dunia haitakubali huyu jamaa awe waziri mkuu hiyo mashariki ya Kati yote itakuwa majivu huyu ni katili mno.
Kuna kipindi alipendekeza Ile Gaza yote ipigwe carpet bomb kumbuka hili ni bomu la sumu likipigwa hakuna hata sisimizi anabakia.....siku ikitokea chama chake wakishinda na akawa waziri mkuu itakuwa mwisho wa watu wote wa Gaza
 
Masahihisho kidogo “Carpetbomb (Katafunua) si mabomu ya sumu bali ni mabomu yenye nguvu sana yanaweza kuangamiza na kusawazisha sehemu yoyote ndiyo maana yakaitwa Carpetbomb.

Mara nyingi mabomu ya sumu hayaharibu vitu menyewe yanaua tu kwa sumu.
 
Aaah!!!!
Dunia haitakubali huyu jamaa awe waziri mkuu hiyo mashariki ya Kati yote itakuwa majivu huyu ni katili mno.
Kuna kipindi alipendekeza Ile Gaza yote ipigwe carpet bomb kumbuka hili ni bomu la sumu likipigwa hakuna hata sisimizi anabakia.....siku ikitokea chama chake wakishinda na akawa waziri mkuu itakuwa mwisho wa watu wote wa Gaza
Kuna watu hawatakiwi kushika nafasi za maamuzi ya mwisho
 
Aaah!!!!
Dunia haitakubali huyu jamaa awe waziri mkuu hiyo mashariki ya Kati yote itakuwa majivu huyu ni katili mno.
Kuna kipindi alipendekeza Ile Gaza yote ipigwe carpet bomb kumbuka hili ni bomu la sumu likipigwa hakuna hata sisimizi anabakia.....siku ikitokea chama chake wakishinda na akawa waziri mkuu itakuwa mwisho wa watu wote wa Gaza
Hujui kitu
 
Kifuatacho ni kufurusha Arabs wote out of Israel kisha wakasome hansad za UN kuwa Arabs walitakiwa waishi Jordan UK wanajifanya wasahaulifu Andha Kanoon ndio Israel anatakiwa afanye.. anawafurusha wote kisha wakienda Mahakamani anafungua tu Hansad Game Over.

View: https://youtu.be/_Cx7ri0u3e8
 
Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria.

Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka shida Hitler kisha tukawashinda waarabu 1948 waliokuwa wanataka kutumaliza ha tuku Ishila hapo 1967 wakataka tena pia tukawashinda kwa kuishindo, Baada ya Oct 07,2023 nchi yetu iliweza kupigana na Hamas,Hezbollah,Houth waasi waliokuwa Syria,Iraq magaidi wa West-Bank na Baba wa Magaidi wote Iran wote hawakutuweza tułowia haka za vibaya sana. Leo hii wewe Keir Starmer."Waziri mkuu wa Uingereza utashindwa asubuhi tu!!!!
Njoo u somę na hapa RD07 mbwa wewe!!
Hawa wahafidhina wakizayuni ndio hawataki amani kati ya Israel na Wapalestina
 
Aaah!!!!
Dunia haitakubali huyu jamaa awe waziri mkuu hiyo mashariki ya Kati yote itakuwa majivu huyu ni katili mno.
Kuna kipindi alipendekeza Ile Gaza yote ipigwe carpet bomb kumbuka hili ni bomu la sumu likipigwa hakuna hata sisimizi anabakia.....siku ikitokea chama chake wakishinda na akawa waziri mkuu itakuwa mwisho wa watu wote wa Gaza
Anaweza kuwa na asifanye haya unayo fikiri atakafanya mambo sio rahisi kama unavyo fikiri ingekuwa rahisi mpaka leo Hamas wasingeendelea kuwepo Gaza na mateka wangepatikana.
 
Back
Top Bottom