Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Uingereza imekuwa ikipanua kambi zake za kejeshi nchini kwa kasi huku pia wakileta zana mpya mpya za kivita.
FB_IMG_1552259608635.jpeg
FB_IMG_1552258963338.jpeg
FB_IMG_1552258960047.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi tunataka kufungua kambi ya kijeshi nchini kwao vipi watakubali??

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hawa jamaa mababu zao walipigana Mzungu Aende Ulaya Mwafrika Apate Uhuru (MAU MAU), wao sasa wanaona sifa Mzungu Aje Afrika, Mwafrika Awe Mtawaliwa (MAA MAM); ha ha ha kaaz kweli kweli.
 
mungu awasaidie sana wakenya..yani mnafuruhi nchi nyingine kujenga kambi ya jeshi nchini mwenu??nmesikitika sana
 
Back
Top Bottom