TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Saa kama ni kambi ya mafunzo na makuruta kwanini wasijenge kwao huko kwan wameishiwa maeneo ???? Endelen tu kuwabeba hao miungu wenuWabongo bana. Kambi ni ya mafunzo na mazoezi ya makurutu wa British Army(BATUK) wakishirikiana na KDF, sio kambi ya kivita. Maeneo ambayo wamekubaliwa kutia kambi ni mali ya Kenya Airforce, Nanyuki, na wanalipia! Vibali vya kufanya shughuli zote hizi wanapewa na GOK. Hivi ni vitu vya kawaida sana duniani, kutoka Ufilipino, Taiwan, S.Korea hadi Djibouti. Nyie tu ndio mnashangazwa na vitu vya kawaida kama hivi, aisee ujamaa uliwalemaza akili kweli kweli. Acheni ushamba majirani. [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app